~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

Mhhh jana nilitoa print out nikaenda Gym...basi huku na workout nikawa nasoma..I didnt feel those ten 10 minutes , One egyptian lady (normally i chat with her lakini jana sikumuona kaingia saa ngapi lol) she asked me R u preparing for exam? :target: lol I told her NO its a story ...

Other woman came to ask what are u reading!! I handled the paper to her... she asked what language is this? lol I told her swahili now she wants me to translate it.... (now I donno how to I get rid of her)

ANyway sasa tuseme yule waziri alikuwa anataka aitwe bosi na mke wake... manake alikuwa anapenda kuitwa bosi...sasa mamii alivyo olewa akabadilisha style... kumbe mzee anataka ile ile staili... arghhhhhhh :frown:
 
Well the only easy way is doing it practically.... with demos I think ataelewa zaidi.
 
Mwanajamiione I didnt get u love.. what are u suggesting?
 
so wewe ni yule alokua anaandika izi stori?aisee ni kitambo
nilikua nafatilia sana hadithi zako,songa mbele mkuu

mbona hizi ni my goodnight sleep!!afadhali
 
Mwanajamiione I didnt get u love.. what are u suggesting?
Si anamsimulia kwa matendo jamani? Mdhungu kaomba atafsiriwe sasa anasema hajui atatafsiri vipi. Mi naona akienda paragraph kwa paragraph mzungu atatoka na hint japo kidogo! lolh

Na MJ naye post zooooote hakuona kaona yangu tu !!
 
Umenikamata Bibie yaani ungeona nilivyoelekeza casa haraka hapo kwenye SURA YA SABA lol ungenicheka ah!!

hahahaha nilivyo na usongo nayo ndo maana namkumbusha mtunzi hivi hiyo (Kumbatio la mwenye makosa) najaribu kuoanisha kichwa kinagoma MJ1 nisaidie kuielezea vizuri
 
hahahaha nilivyo na usongo nayo ndo maana namkumbusha mtunzi hivi hiyo (Kumbatio la mwenye makosa) najaribu kuoanisha kichwa kinagoma MJ1 nisaidie kuielezea vizuri
Mwe hata mie ilinipa shida kidogo ..... labda
1. Dada (Mama Waziri) anamkumbatia Freddy aliyemkosea kwa kumwagia juice walivyogongana:
2. Fredy anamkumbatia Dada ambaye ana kosa la kuisaliti ndoa yake

ah hata sielewi shosti hii ni fumbo la mwanakijiji
 
Ngoja tusubiri mhusika aje afumbue hiki kitendawili ..
 
Mzee wa vijimambo!

Wenzao wanawadondokea characters wa kwenye stori na siyo watunzi. Sasa kwangu nimeshakuwa not reachable maana nshapigwa makofi ya kutosha tu.. ndio maana nawaasa watu sana wasiniletee matatizo bure.
 
haahahaah itabidi nikae mbali.. sasa ukisoma yanayotokea kwa Mjamaika si ndio itakuwa vurugu.. ila angalia avatar yangu... haitamanishi.
Uwiii hebu basi lete ya kwa mjamaika wa kilugulu jamani!! nina uhakika kuwa hiyo itakuwa ya kufungia mwaka na kugongomelea msumari wa mwisho kwenye jeneza la moyo wangu ukiniacha mwenyewe niamue kulala kifudifudi au chali humo kwenye jeneza la mapenzi yangu kwako (Lol- naona nami vimisemo vya Da Clementina vinaniingia)

Ah MMM si mnasema ng'ombe hazeeki maini jamani?- Avartar yako ni taswira tu ya ng'ombe mzee kwangu mpenzi.

Haya karibuni.:rofl:
 
Wenzao wanawadondokea characters wa kwenye stori na siyo watunzi. Sasa kwangu nimeshakuwa not reachable maana nshapigwa makofi ya kutosha tu.. ndio maana nawaasa watu sana wasiniletee matatizo bure.

Sasa MMM nimwangukie character wa kwenye hadith jamani kivuli hicho ndugu yangu na enzi zile za kumfia Willy Gamba ilikuwa zamani bwana. But of course ninaheshimu utashi wako mpenzi you are not reachable ..... so najiweka pembeni nile kwa macho tu.... ntafanyaje sasa nami kukuteka siwezi.... lol.
 
Sura ya Saba na ya mwisho wa kisa hiki cha kusisimua inakuja ndani sasa hivi.... zingatieni onyo.. nililotoa jana. Msichape mkaweka karibu na watoto.
 
Back
Top Bottom