Kulipa kodi kubwa sio sifa

Kulipa kodi kubwa sio sifa

Haina shida mkuu kila la kheri but I said what I said

You’ll never catch me living in Goba,Salasala,Mbezi,Madale,kimara and the likes. I’ma City Boy.
Ni sawa.

Zaman hata mm nilikuwa nasema kama ww.

Ila kwa mentality uliyonayo inabidi utafute hela sana. Na uweze kumaintain kuwa na hela mara kwa mara.

Na pia ukichelewa sana. Hata hizo sehemu hutapata kiwanja kizuri.
Maana kwa sasa bila mill 50+ hupati kiwanja kizur hayo maeneo uliyoyataja.
 
Hizo nyumba zipo kwa ajili ya watu Kama wewe huwezi bas Kuna watu wanaweza

Ni kama tu wengine wanavyo kunywa bia wengine soda , maji , Hennessy nk, wote mnakunywa.

Au Kama tu wengine wanatumia techno na wengine I phone 17 pro max nk, wote mnawasiliana

So ipo hvyo kwenye kila kitu
Of course mkuu hata uzi huu unalitambua hilo.

Lengo la uzi nikuwakumbusha kwa wale wenye pesa kidogo na pesa nyingi wasijisahau sana.
 
Uko safe side sababu una fixed income, lakini unatakiwa uishi standard life hata kama income ni ndogo, adjust kidogo mpaka 10, kuna namna akili ita tune kuongeza income ku meet expenses zitakazokuwa zina arise ukiwa katika mazingira ya 10 au 15% ya hiyo take home.
Nisahihi kabisa sema nilihamia hapa baada ya nilipo kuwa kodi kuwa mzigo haikuchukua hata mwezi mshahara ukapanda mara dufu kwa stress nilizokuwa nimepitia nilikotoka nikaona nikihama tena itakuwa kiuchumi haiko vizuri.
 
Pay As You Earn, mazingira yana influence kubwa kwenye maisha ya mtu. Ukiishi mazingira fulani unajitanabaisha wewe ni mtu aina gani.
 
Tangu nisome somo la saikolojia watu wa namna yoyote Huwa hawanisumbui hii Dunia hayo mambo yapo na Kuna zaidi ya hayo unaweza kuwasikiliza Kisha ukaendelea na majukumu yako hujui ujanja mwingi mbele kiza
Mpaka huruma wanamacho lakini hawaoni.
 
Back
Top Bottom