Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,439
- 27,118
Kuna kujenga sio michongo yao kabisa mkuu, mipango sio yetu Sijui umeelewa?Mkuu naona haujaelewa issue sio kuwa na pesa.
Uzi unakumbusha kujimanage kidogo na kununua/kujenga nyumba haijalishi unapesa nyingi au kidogo.