Kulipa kodi kubwa sio sifa

Kulipa kodi kubwa sio sifa

Hellow wa JF.

Utasikia vijana wakisema mimi siwezi kukaa/kupanga chumba/nyumba chini ya 300,000 au 500,000 au 800,000 kwa mwezi. Hapo hapo siku za mbeleni anakuja kuzalisha/zalishwa watoto kwenye nyumba za watu hana kiwanja wala nyumba.

Naomba niwakumbushe hakuna tuzo utakuja kupewa ya kulipa kodi kubwa.
Kukaa ghetto/nyumba/apartment ya 300,000 au 500,000 au 800,000 hiyo siyo issue at all. Cha kujiuliza gharama hizo ni asilimia ngapi ya kipato cha mlipaji? Je, yeye standard yake amejiwekea kulipa asilimia ngapi ya kipato chake kwa ajili ya rent?
Katika maisha tunapaswa kuwa na standards, sijui kama unaweza ukawa na 75” Tv halafu ukaenda nayo kupanga chumba cha 40,000. Sidhani kwa mazingira ya sasa utakuwa unafanya remotes work halafu ukae mazingira yenye vyumba vya 40,000.

Sidhani kama kwa mtu ambaye yeye burudani yake kubwa ni sehemu anayoishi, yaani mziki mzuri, home cinema, nyama choma, kumbuka hata kitanda starehe, sebule ni starehe, jiko ni burudani sidhani kama huyu utamkalisha nyumba ya shilingi laki tatu.

Kikubwa ni kuwahusia watu wawe na philosophy katika maisha na wasipende kuiga mitindo ya maisha kabla ya kuelewa wengine wanaishije.

Mimi naaweza nikaamua kuiinua hadhi yangu kimkakati. Nachukua digital nomad ya UAE or Spain ambayo ni cheap or ya Estonia ambayo ni just a day or two. Then nakuwa naishi huko wakati nina biashara zangu bongo. Kitendo tu cha kuwa na address hiyo tayari nakuwa naongeza uzito na trust kwenye mihamgaiko yangu na circle zangu.

Wajifunze kuuliza badala ya kuparamia, hii tabia ya kuparamia pasipo kunua unapelekea wengi kuishia kuparamiwa, na mtu akishaanza kuparamiwa hakuna namna itabidi tumuingize pale Dole primary
 
Mimi wazazi wote walitangulia mbele za haki kwahyo kwetu ndio kwangu sasahvi..
Nilisoma nikakosa ajira kwahyo hapa nimepatumia kufugia pia
Safi sasa imagine wazazi wako wangekaza shingo kama hawa vijana humu ndani wanao kaza shingo hivi leo ingekuwaje.

Kujenga ni muhimu kwenye maisha yako na vizazi vyako vijavyo.
 
Kukaa ghetto/nyumba/apartment ya 300,000 au 500,000 au 800,000 hiyo siyo issue at all. Cha kujiuliza gharama hizo ni asilimia ngapi ya kipato cha mlipaji? Je, yeye standard yake amejiwekea kulipa asilimia ngapi ya kipato chake kwa ajili ya rent?
Katika maisha tunapaswa kuwa na standards, sijui kama unaweza ukawa na 75” Tv halafu ukaenda nayo kupanga chumba cha 40,000. Sidhani kwa mazingira ya sasa utakuwa una remotes work halafu ukae mazingira yenye vyumba vya 40,000.

Sidhani kama kwa mtu ambaye yeye burudani yake kubwa ni sehemu anayoishi, yaani mziki mzuri, home cinema, nyama choma, kumbuka hata kitanda starehe, sebule ni starehe, jiko ni burudani sidhani kama huyu utamkalisha nyumba ya shilingi laki tatu.

Kikubwa ni kuwahusia watu wawe na ohilosophy katika maisha na wasipende kuiga mitindo ya maisha kabla ya kuelewa wengine wanaishije.

Mimi maweza nikaamua kuibua hadhi yangu kimkakati. Machukua digital nomad ya UAE or Spain ambayo ni cheap or ya Estonia ambayo ni just a day or two. Then nakuwa naishi huko wakati nina biashara zangu bongo. Kitendo tu cha kuwa na address hiyo tayari nakuwa naongeza uzito na trust kwenye mihamgaiko yangu na circle zangu.

Wajifunze kuuliza badala ya kuparamia, hii tabia ya kuparamia pasipo kunua unapelekea wengi kuishia kuparamiwa, na mtu akishaanza kuparamiwa hakuna namna itabidi tumuingize pale Dole primary
Shukrani mkuu .

Hili pia ndiyo lengo la uzi huu sema wewe umenisaidia kuelezea kiundani zaidi.
 
Mkuu katika dunia hii ya ki liberal, watu huchagua kuamini na kufanya kile waonacho kwao kuwa ni sahihi, kwahiyo kama mtu amechagua kulipa Kodi kubwa kama source of prestige au kwa namna yeyote ile ni vyema tu ukamuacha na lolote litakalompata ni juu yake, ukishauri sana utaonekana una wivu au watakwambia kwasababu wewe huna pesa usitupangie
 
Hellow wa JF.

Utasikia vijana wakisema mimi siwezi kukaa/kupanga chumba/nyumba chini ya 300,000 au 500,000 au 800,000 kwa mwezi. Hapo hapo siku za mbeleni anakuja kuzalisha/zalishwa watoto kwenye nyumba za watu hana kiwanja wala nyumba.

Naomba niwakumbushe hakuna tuzo utakuja kupewa ya kulipa kodi kubwa.
Sio kila mtu ana ndoto za kujenga.
Haya mambo hayajaanza leo, hakuna jipya
Kuna waliokuja dunian ku-enjoy life sababu hawaijui kesho.
Halafu kuna nyie mlikuja duniani mko serious sana na maisha ushauri mwingi na bado kesho unaweza usione.
Ishi kwa timing, usisahau kuweka akiba at least 20% unachokipata
 
Mkuu katika dunia hii ya ki liberal, watu huchagua kuamini na kufanya kile waonacho kwao kuwa ni sahihi, kwahiyo kama mtu amechagua kulipa Kodi kubwa kama source of prestige au kwa namna yeyote ile ni vyema tu ukamuacha na lolote litakalompata ni juu yake, ukishauri sana utaonekana una wivu au watakwambia kwasababu wewe huna pesa usitupangie
Mkuu ni hatari sana siku hizi kukumbushana maendeleo imekuwa ni kupangiana .
 
Sio kila mtu ana ndoto za kujenga.
Haya mambo hayajaanza leo, hakuna jipya
Kuna waliokuja dunian ku-enjoy life sababu hawaijui kesho.
Halafu kuna nyie mlikuja duniani mko serious sana na maisha ushauri mwingi na bado kesho unaweza usione.
Ishi kwa timing, usisahau kuweka akiba at least 20% unachokipata
Mkuu asiye na ndoto za kujenga na asijenge, nothing is new like you sayed.

Hata kuweka hiyo akiba 20% uliyoisema itaonekana sio kila mtu ndoto zake.
 
Mkuu asiye na ndoto za kujenga na asijenge, nothing is new like you sayed.

Hata kuweka hiyo akiba 20% uliyoisema itaonekena sio kila mtu ndoto zake.
Akiba kwa wasiopenda kudhalilika wakipata dharura.
Sipendi kuomba omba, sipendi kumweleza mtu matatizo yangu ya kifedha…waswahili nyoko sana, hawatakusaidia watakutangaza
 
Back
Top Bottom