kodi kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fact only

    JamiiForums Tanzania Kulipa kodi kubwa sio sifa

    Hellow wa JF. Utasikia vijana wakisema mimi siwezi kukaa/kupanga chumba/nyumba chini ya 300,000 au 500,000 au 800,000 kwa mwezi. Hapo hapo siku za mbeleni anakuja kuzalisha/zalishwa watoto kwenye nyumba za watu hana kiwanja wala nyumba. Naomba niwakumbushe hakuna tuzo utakuja kupewa ya kulipa...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bora kuishi karibu Kwa Kodi kubwa, ama mbali Kwa nauli kubwa

    Unakuta mtu anafanya kazi au biashara Kariakoo lakini anaishi Kibaha, Bunju, Kitunda, Vikundu, Vingunguti n.k ambapo ukimuuliza anakwambia kule vyumba bei nafuu labda elfu 50k, lakini ukimshauri alipie 200k chumba maeneo ya karibu labda Magomeni, Kinondoni, Fire n.k anakataa anasema ni gharama...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bora Uishi karibu Kodi kubwa ama mbali na nauli kubwa

    Maoni yako Tafadhali
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni bora upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa au upange mbali kwa gharama kubwa na usafiri wa taabu

    Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10 au Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu Mfano: Upange mbali kwa nusu ya gharama X, usafiri laki 1, unaamka alfajiri kuwahi usafiri
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika

    Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao. Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Kodi kubwa kwa umaskini na kuumiza biashara

    High tax rates hinder poor countries from growing their economies. The tax rates from sales tax to income tax are too high for our region where businesses need more and more capital to grow and reinvest and create employment but instead the government’s strategy of imposing higher taxes is...
  8. kbosho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jiji la Dar es Salaam linatoza Kodi kubwa ya Mabango?

    Hello wanajamvi! Naomba kuliza ni kwanini jiji la Dsm hususani ilala wanatoza Kodi kubwa ya mabango kuliko hata kodi ya mapato ya TRA hata ya halmashauri? Mfano! Mtu una biashara mauzo yako kwa siku hayafiki laki na nusu 150,000, TRA kwa mwaka unalipa around 1,500,00 mapaka 2,400,00. Kodi ya...
Back
Top Bottom