Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

Hivi kumbe wanawake wengi wapo hivi me nilidhani niwangu2 ndio anatabia zakuniletea mdomomdomo. Bahati yake kumbe wengi wao wapo hivi nilikuwa nafikiria kumuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati kumuacha kuna manufaa iwapo kila uchao nguvu ya uvumilivu inakupungua, maana waweza react ukampa konde lenye madhara, gereza likakuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ndiyo ujisifie na kutangaza dhambi zako kama vile kitu chema?

Ndivyo ulivyofundishwa hivyo? Hukufundishwa kuwa ikitokea bahati mbaya ukafanya dhambi basi urudi haraka na kufanya toba kwa Mungu wako?
Wanajua hilo mama kosa lao linasafishwa kwa maji tu linatakata ila la mwanamke ni mpaka jiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungejiuliza kidogo kwanza maswali haya,huyo shemeji yake aliyempa mimba huko wapi? Je upande wa mume wa shemeji kwanini wasimchukue? Au kwanini asimpeleke kwa mama yake au mama mkwe? Kusema nayeye alileta mtoto ambaye ni damu yake kabisa kufananisha na hii case ya shemeji hapana.
Sasa angeongea na mkewe vizuri si kukimbilia kumponda, unazani yeye anavyolea. hapo moyo wake umekunjuka? Angeenda naye taratibu hata wanawake wana moyo wa nyama si jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nyumban ni kwa wanan ndugu kwa kwa mke na mume??
Kama mwanamke ana mind, basi na yy akabebe mimba ya nje hukoo ndio alete mtoto nyumban kwakua hapo patakua pake lakin sio shemeji mtu.Anahusika vp kwemye nyumba za watu.
Kuwen na akil kidogo basi
Kuzaa kwa mke nje unazani ni rahisi yeye kulipokea hilo? Si may nyie hachelewi kuchinja watoto na mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulweso,
Yaani kila ukimwangalia huyo mtoto kuna picha flani mbaya inakujia inahitaji moyo sana. Maana unajua fika alienda kucheza sarakasi huko nje na haya ndio matunda aliyoleta. Saa nyingine wanaume matatizo wanayatafutaga wenyewe
Nasema silei hata siku moja Baba chanja atanielewa tu lakini kwangu hilo lipo wazi kwanza ndani kwangu hata pua yake haiwezi gusa ama zangu au zake achague moja silei upuuzi hata siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea kichwa cha habari, huu ni uzi wa matokeo ya kula tunda kimasihara. Baba alikula kimasihara akapata mtoto wa nje, shemeji yake akaliwa kimasihara akapata hicho kichanga.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kula tunda kimasihara kumemgarimu daktari flani baada ya kumla kimasihara mama mjamzito
 
Kabla sijatoa ushauri huyo mkeo nampa pole ya kupokea mtoto wa huko wa mwaka 1
mie siwezi katu kulea mtoti ulienda kufanya uzinzi huko, nasema siwezi kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Na unavyomkatalia mkeo asilee mtoto wa ndugu huyo mwanao wakuchepukia asubili maumivu
toka kwa mkeo, labda ukae nyumbani uwe unamlea mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww mwanamke utakuwa na ya kigaidi,namuonea huruma mumeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom