Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

Huyo mtoto ungemlea mwenyewe mkuu? Kwani ungekuwa unambeba mgongoni? Hapo umezingua mnoo.

Sikia mkuu, cha kufanya kubali hiko kichanga kibaki kwako, cha msingi hakikisha baba kichanga anatuma matumizi ya kichanga.



Unforgetable
Yaani anajifanya mjanja wakati wakwake analelewa na mkewe, anamtafutia manyanyaso huyo mwanaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli tupu hii,you are experienced
Vichapo vingi wanavyopata wake zetu hutokana na mdomo! Mwanamke akiona anapokukwaza kwa maneno hukwaziki, huongeza ukali wa maneno na kuongeza sauti ili udharirike... Hapo ndo mikono ya mwanaume hunyanyuka yenyewe na kufanya kazi yake ya kichapo bila kutumwa na ubongo. Ndo maana baada ya kichapo wanaume wengi hujutia kuwapiga wenzi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ulifanya makosa kuzaa nje ya ndoa, ila kumleta nyumbani hujakosea.
Komaa usikubali kuletewa huyo mtoto wa shemeji yako maana hakuna sheria iwe ya dini au dunia inayokubana kumlelea shemeji yako.

Apeleke kwa aliemzalisha au amuache kwa aende akasome, by the way mwanamke anaeacha mtoto wa mwezi 1 eti anaenda kusoma inabidi apelekwe polisi kwanza akajieleze kwa kosa la jaribio la kuta kuua mtoto mchanga.
Usikubali kamwe kupelekeshwa na ukweni, mrudishe mkeo ila usikubali akupelekeshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom