Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

Bf Tulinagwe

Senior Member
Joined
Dec 11, 2019
Messages
168
Points
500

Bf Tulinagwe

Senior Member
Joined Dec 11, 2019
168 500
Habar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi.,

Kama tujuavyo mabaharia tunapita na wengi kimasihara, sasa Ktk ptpt zangu nikapata zawadi ya mtoto nje ya ndoa, mama wa uyu mtoto hana maisha ya kueleweka yupo yupo yani kimasihara, ni mtu ambaye yan ht ukiamua umwezeshe kimaisha hawezi., mambo mengi muda mchache.. kwa hiyo mimi kama baba wa uyu mtoto nikamsoma mapema hawezi kumlea mwanangu.

Nikamwambia wife everything going on, hali ilikua tete bt baadae ilibidi tu anielewe, nikamchkua mtoto akiwa na mwaka tu. na mama wa mtoto ye hana hbr yan ndo kwanza nilivomwambia akaona nampunguzia mzigo.

Mtafaruku umeanza pale shemeji wa mimi mdogo wa mke wangu anataka atuachie kichanga cha mwezi mmoja kwa kigezo anaenda kuendelea na masomo ya chuo yaani kwa kifupi kitoto kinamtinga akiwa masomoni. Kapata backup toka kwa dadaye ( mke wangu) kwamba ni sahihi aache huyo mtoto yy akapige shule.

Nilipokataa kwa busara tu za kawaida kwamba mamaye yupo haumwi na kitoto bado kidogo mno, ndipo nilipogeuka adui wa kila mtu si mke wangu, si mashemeji wote wananiona mimi sitaki kutoa msaada wa malezi ya ndugu wa mke..

Mke wangu nae ananikumbusha khsu uyu mwanangu nliempata nje ya ndoa kila ninapinga hili swala. Juzi kanijibu mbovu nikashindwa kujizuia nikampa kibano cha haja kidogo, hadi saivi yupo kwao...

Mabaharia wenzangu, dada zangu na mama zangu wazoefu wa maisha ya ndoa nipeni mwongozo, uhusiano na ndugu wa mke kwa sasa ni mbaya sana.,.

Je ni ubinafsi wangu ndo unaosababisha huu mgogoro? Niumalize huu mgogoro vipi.? Nikipokee kichanga kwa kigezo tu cha mamaye kusoma?
 

Drizzle

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Messages
1,165
Points
2,000

Drizzle

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2019
1,165 2,000
Mkuu wewe ndio baba wa familia yako, usikubali kupelekeshwa na upande wa ukweni. Kama ulioa ndoa ya halali na ulilipa mahari simamia msimamo wako. Haya mambo ya extended family ndio yanaleta mtafaruku kwenye ndoa nyingi.

Mkeo hapaswi kabisa kujilinganisha yeye na wewe. Eti sababu ulifanya kosa naye alipizie. Huo ni ujuha. Hatukatai kusaidiana lakini tunaangalia kile tunachomudu. Usilegeze kamba shikilia hapo hapo. Kwa nini huyo mtoto asiachwe kwa bibi yake (mamake mkeo au ndugu yake mwingine).

Sent using Jamii Forums mobile app
 

HizMAJESTY

Member
Joined
Aug 6, 2019
Messages
92
Points
150

HizMAJESTY

Member
Joined Aug 6, 2019
92 150
Vichapo vingi wanavyopata wake zetu hutokana na mdomo! Mwanamke akiona anapokukwaza kwa maneno hukwaziki, huongeza ukali wa maneno na kuongeza sauti ili udharirike...

Hapo ndo mikono ya mwanaume hunyanyuka yenyewe na kufanya kazi yake ya kichapo bila kutumwa na ubongo. Ndo maana baada ya kichapo wanaume wengi hujutia kuwapiga wenzi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
7,791
Points
2,000

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
7,791 2,000
Bf Tulinagwe,
Uliharibu tangu mwanzo huyo mwanaoulitakiwa umpeleke kwa ndugu yako wa kike kama shangazi, Dada yako au kwenu, makosa ushafanya nakushauri umwambie mkeo kuwa huyo mtoto ataruhusiwa kukaa hapo akiwa mkubwa wa zaidi ya miaka2,

Wewe ulichukua mwanao basi na huyo Shem wako akampelekee aliyemzalisha, asikuumize kichwa Fanya maamuzi ya kiume na usiogope mtu hata mkeo
 

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
7,791
Points
2,000

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
7,791 2,000
Mrudishe wife kisha chukua kachanga ulee mkuu baraka za MUNGU riziki zinaanziga kuja kupitia njia hizo mkuu miaka mitatu ya chuo sio mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mzigo asithubutu kuubeba, huyo shemeji yake yeye kazalishwa na vijana wapaka scrub hawajui majukumu yao?
 

Forum statistics

Threads 1,390,783
Members 528,265
Posts 34,061,793
Top