Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

Rejea kichwa cha habari, huu ni uzi wa matokeo ya kula tunda kimasihara. Baba alikula kimasihara akapata mtoto wa nje, shemeji yake akaliwa kimasihara akapata hicho kichanga.
Asante kwa kuuelewa uzi vizuri ilivyokusudiwa...
 
Hivi mtoto wa mwaka mmoja ni sawa na wa mwezi mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
La hasha. Kilichonisukuma kukataa ni umri wa uyu kichanga. “Just a month??” kwa sababu isoeleweka..

Kusoma so sababu ya msingi kwangu, chuo mtu unasoma ht ukiwa na family kbsa..

Mtoto mchanga ana complicatn sna ht kama simlei mimi personally bt ntahusika in either way...
 
1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Hakuna mkamilifu mama,
 
Kwangu naona si haki shemeji yako kukuachia kitoto kidogo hivyo kwa sababu wewe si msababishaji wa mtoto huyo. Alitakiwa amwachie baba wa mtoto huyo.
Kuhusu mkeo kusimamia kigezo cha wewe kuzaa nje, havina uhusiano kabisa. Una haki ya kulea mwanao na wewe ndo msakatonge la familia. Kwa maelezo yako mamake hajitambui, umefanya vema kuokoa maisha ya mtoto wako.
Mkeo kama anaona hasara kulea mwanao, asepe tu.
Utakuwa mjinga kumwacha mtoto ateseke eti kwa sababu mkeo hataki.
Umefanya kiume. Hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni uoga baba. Jiamini lea mwanao. Nikamweke huko ili iweje?
Kwa akili yangu ni bora niishi na mwanangu kuliko mke.
Uliharibu tangu mwanzo huyo mwanaoulitakiwa umpeleke kwa ndugu yako wa kike kama shangazi, Dada yako au kwenu, makosa ushafanya nakushauri umwambie mkeo kuwa huyo mtoto ataruhusiwa kukaa hapo akiwa mkubwa wa zaidi ya miaka2,
Wewe ulichukua mwanao basi na huyo Shem wako akampelekee aliyemzalisha, asikuumize kichwa Fanya maamuzi ya kiume na usiogope mtu hata mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi.,

Kama tujuavyo mabaharia tunapita na wengi kimasihara, sasa Ktk ptpt zangu nikapata zawadi ya mtoto nje ya ndoa, mama wa uyu mtoto hana maisha ya kueleweka yupo yupo yani kimasihara, ni mtu ambaye yan ht ukiamua umwezeshe kimaisha hawezi., mambo mengi muda mchache.. kwa hiyo mimi kama baba wa uyu mtoto nikamsoma mapema hawezi kumlea mwanangu.

Nikamwambia wife everything going on, hali ilikua tete bt baadae ilibidi tu anielewe, nikamchkua mtoto akiwa na mwaka tu. na mama wa mtoto ye hana hbr yan ndo kwanza nilivomwambia akaona nampunguzia mzigo.

Mtafaruku umeanza pale shemeji wa mimi mdogo wa mke wangu anataka atuachie kichanga cha mwezi mmoja kwa kigezo anaenda kuendelea na masomo ya chuo yaani kwa kifupi kitoto kinamtinga akiwa masomoni. Kapata backup toka kwa dadaye ( mke wangu) kwamba ni sahihi aache huyo mtoto yy akapige shule.

Nilipokataa kwa busara tu za kawaida kwamba mamaye yupo haumwi na kitoto bado kidogo mno, ndipo nilipogeuka adui wa kila mtu si mke wangu, si mashemeji wote wananiona mimi sitaki kutoa msaada wa malezi ya ndugu wa mke..

Mke wangu nae ananikumbusha khsu uyu mwanangu nliempata nje ya ndoa kila ninapinga hili swala. Juzi kanijibu mbovu nikashindwa kujizuia nikampa kibano cha haja kidogo, hadi saivi yupo kwao...

Mabaharia wenzangu, dada zangu na mama zangu wazoefu wa maisha ya ndoa nipeni mwongozo, uhusiano na ndugu wa mke kwa sasa ni mbaya sana.,.

Je ni ubinafsi wangu ndo unaosababisha huu mgogoro? Niumalize huu mgogoro vipi.? Nikipokee kichanga kwa kigezo tu cha mamaye kusoma?
Huyo shemeji yko si apeleke hyo mtoto kwa baba yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom