Ndiyo maana ndoa za siku hizi hazidumu.Halafu wengi wanamuunga mkono.
Ndoa na iheshimiwe na wote.
Hapo huyo mkewe anafanya kusudi tu, anafanya istihizai, kama mume kaweza kumletea mtoto wa nje ya ndoa, ambae si wake kabisa, kwanini yeye asilete mtoto wa mdogo wake akamlea?Mkeo kama kataka kubali ajionee mwenyewe mtoto mchanga kama si wako kulea ilhal mamake yupo yataka moyo labla kama anamoyo kama wa Bi Halima
Hivi mbona hawa mabibi wanaonewa sana? Wamewalea nyinyi halafu waje walee na wanenu tena wakiwa wamechoka, not fair. Kwa bibi mm, wanangu inabidi wajipange, labda kama mwanangu ni mgonjwa, kafungwa au kafa.kwani hakuna ndugu mwingine mfano bibi wa huyo mtoto yuko wapi? i mean mama wa mkeo, kwanini asipekelewe kichanga akalea, nazani utuambie zaidi ili tujue jinsi ya kutoa msaada wa mawazo zaidi
Halafu anadhani mkewe karidhika. Hajui sasa hivi anaishi na mfano wa mke na ndio maana ameweza kumjibu atakavyo, na wala asidhani kumpiga ndio suluhisho.Ndiyo maana nfoa za sikuhizi hazidumu.
Huyu mleta mada kujisifu na kumletea mtoto wa nje ya ndoa mkewe amlee si ndiyo yeye mwenyewe tayari hapa kampa mkewe tiketi ya kwenda kuigawa nje.
Watu kama huyu ndiyo mwisho wa siku wanabambikiwa kulea watoto si wao na yenyewe inachekelea tu.
Huu niliousoma hapa ni ujinga wa hali ya juu, katika maelezo yote aliyoyaandika humu, nini cha kumzuwia mkewe na yeye asiigawe?
Watu wanachukulia vitu simple sana hapo hujaongelea Huyo mwanamke aliyezaa nae kumtembelea mtoto wake hapo nyumbani mara kwa mara maana ni mwanae ,kupasha viporo ndio kabisaa.Aisee. Haya mambo yasikie tu yanaleta mgogoro sana.Bora mtoto wa kumkuta kuliko wa kuletewa ndani ya ndoa yaani kila ukimuangalia utakuwa unakasirika tu.Halafu anadhani mkewe karidhika. Hajui sasa hivi anaishi na mfano wa mke na ndio maana ameweza kumjibu atakavyo, na wala asidhani kumpiga ndio suluhisho.
Mkewe yupo hapo lakini amekufa ganzi mwili na nafsi.
Humu wengi wanaona mke hana haki ya kumkataa mtoto wa nje ya ndoa, na wanadai mke akikataa aachwe, je wamejiuliza watoto aliozaa na mkewe atakuwa na hali gani?? Au hao sio watoto mtoto ni huyo wa wazinzi?!?!
KOSA HUWA HALIHALALISHI KOSA.Acha kuwa mbinafsi!!
Mkeo umemkosea, umefanya uzinzi, umezaa nje, bado kama haitoshi ukaamua kumlazimisha alee mwanao wa nje, makosa yote haya wewe unadhani unastahili adhabu gani?
Mkeo amefanya uamuzi wa kijasiri sana, kukubali uzinzi wako na kukulelea mwanao wa haramu, mwanamke mwingine asingekubali ujinga kama huo
Umefanya nini wewe kujutia kosa lako?
Umefanya nini kwa mkeo a) Kwa kosa la Kuzaa nje na b) kwa kukubali kumlea mwanao wa nje?
Mkeo bado ana kinyongo kwa makosa uliyomfanyia, ulipaswa kuwa considerate kukubali ombi la mkeo kumlea mtoto wa mdogo wake, angalau ingekuwa kama namna ya kuonesha appreciation kwake kwa ushenzi uliomtendea, bado kama haitoshi unampiga!!!!????
Ndugu zake na wengine wowote wenye akili timamu lazima wamuunge mkono mkeo
Haiingii akilini yaani ushindwe kujidhibiti nyeg zako, uzae nje, na kisha ulete mtoto nyumbani, umlalimishe mkeo amlee, halafu aombe kumlea mtoto wa ndugu yake aambulie kipigo kisa wewe ni mwanaume!!!???
Kwa makosa uliyomfanyia mkeo wewe upigwe mara ngapi!??
Hebu imagine, mkeo angekuwa dada yako na mumewe anamfanyia mambo kama haya unayomfanyia mkeo, wewe kama kaka yake ungejisikiaje!!!!???
Mkeo ni shujaa - amekuvumilia sana, alipaswa kuondoka hapo kwako siku nyingi, lakini uvumilivu wake wewe unauchukulia poa tu, wewe unashindwa naye kumvumilia!!??
Acha ubinafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa, lakini anapaswa aangalie na vya kushindania.Hapo huyo mkewe anafanya kusudi tu, anafanya istihizai, kama mume kaweza kumletea mtoto wa nje ya ndoa, ambae si wake kabisa, kwanini yeye asilete mtoto wa mdogo wake akamlea?
Na anapokataa ujuwe sasa huyo mwanamke ataigawa nje na kumletea aanze kulea mimba mpaka mtoto ambae si wake.
Hili ni wazi kabisa.
Hivi hicho kichanga kinakugharimu nn mkuu...... kwani kitafanya papuchi ya mkeo usile? au utaacha kwenda kazini ili kukalea? si uwe na roho safi ukaache kalelewe hapo nyumbani...... acha kumkataa malaika huyu.Habar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi.,
Kama tujuavyo mabaharia tunapita na wengi kimasihara, sasa Ktk ptpt zangu nikapata zawadi ya mtoto nje ya ndoa, mama wa uyu mtoto hana maisha ya kueleweka yupo yupo yani kimasihara, ni mtu ambaye yan ht ukiamua umwezeshe kimaisha hawezi., mambo mengi muda mchache.. kwa hiyo mimi kama baba wa uyu mtoto nikamsoma mapema hawezi kumlea mwanangu.
Nikamwambia wife everything going on, hali ilikua tete bt baadae ilibidi tu anielewe, nikamchkua mtoto akiwa na mwaka tu. na mama wa mtoto ye hana hbr yan ndo kwanza nilivomwambia akaona nampunguzia mzigo.
Mtafaruku umeanza pale shemeji wa mimi mdogo wa mke wangu anataka atuachie kichanga cha mwezi mmoja kwa kigezo anaenda kuendelea na masomo ya chuo yaani kwa kifupi kitoto kinamtinga akiwa masomoni. Kapata backup toka kwa dadaye ( mke wangu) kwamba ni sahihi aache huyo mtoto yy akapige shule.
Nilipokataa kwa busara tu za kawaida kwamba mamaye yupo haumwi na kitoto bado kidogo mno, ndipo nilipogeuka adui wa kila mtu si mke wangu, si mashemeji wote wananiona mimi sitaki kutoa msaada wa malezi ya ndugu wa mke..
Mke wangu nae ananikumbusha khsu uyu mwanangu nliempata nje ya ndoa kila ninapinga hili swala. Juzi kanijibu mbovu nikashindwa kujizuia nikampa kibano cha haja kidogo, hadi saivi yupo kwao...
Mabaharia wenzangu, dada zangu na mama zangu wazoefu wa maisha ya ndoa nipeni mwongozo, uhusiano na ndugu wa mke kwa sasa ni mbaya sana.,.
Je ni ubinafsi wangu ndo unaosababisha huu mgogoro? Niumalize huu mgogoro vipi.? Nikipokee kichanga kwa kigezo tu cha mamaye kusoma?
Habar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi.,

hapo masihara ndo yamekuponzaHabar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi.,

mtoto mpumbavu ni mzigo wa mama yake, sasa kwa situation kama huyu kaka unataka shemeji ndo abebe mzigo wa kulea? binti inabidi apambane na wakwao, wao ndo wajue wanaubeba vip kama kumuacha ahangaike mwenyewe au waubebe wenyewe but its not fair kumtupia mzigo shemeji yakeHivi mbona hawa mabibi wanaonewa sana? Wamewalea nyinyi halafu waje walee na wanenu tena wakiwa wamechoka, not fair. Kwa bibi mm, wanangu inabidi wajipange, labda kama mwanangu ni mgonjwa, kafungwa au kafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujui kulea watoto wachanga kuna shuluba gani.Huyo mtoto ungemlea mwenyewe mkuu? Kwani ungekuwa unambeba mgongoni? Hapo umezingua mnoo.
Sikia mkuu, cha kufanya kubali hiko kichanga kibaki kwako, cha msingi hakikisha baba kichanga anatuma matumizi ya kichanga.
Unforgetable
Kwanza nikupe uzoefu, huyo mkilelea mtoto wa mwezi mmoja hatajua ugumu wa kulea mtoto atawaletea mtoto mwingine soon.Jamaa alompa mimba nae hana mwelekeo,,, Shem mwenyewe alikua anatoa mimba tena kubwa kbsa ikashindikana mtoto katoka mzima...