SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,048
- 8,991
suslov mweusi, si nakile cha mchepuko kina mama yake akipeleke hukokwani hicho kichanga si kina baba yake? akipeleke huko usiwe boya
hiyo jino kwa jino sasasuslov mweusi, si nakile cha mchepuko kina mama yake akipeleke huko
Huyo mtoto anapoingia ndani tayari anakuwa mwanae pia...so lazima imgarimu malezi yote yanayopaswa mtoto kupewa....kwa lugha nyingine anakuwa baba mlezi na atatakiwa kutoa matunzo yote. Yeye ni Baba na Kichwa cha nyumba. FULL STOPKwani huyo mtoto atakugharimu nini. Kama mkeo yuko tayari kumlea wacha amlee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki tatizo wewe mkali sanaNasema silei hata siku moja Baba chanja atanielewa tu lakini kwangu hilo lipo wazi kwanza ndani kwangu hata pua yake haiwezi gusa ama zangu au zake achague moja silei upuuzi hata siku moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna siwezi kuwa mkali bila sababu , mie sio mkorofi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] ila kwa hilo hapana rafiki bora ni nyime tubpesa kwa kitu nilichokitamani lakini eti ukalete mtoto ulile chakachua huko hapana, kama umecheza rafu huko red kadi mpeane huko hukoRafiki tatizo wewe mkali sana
Anao muda wa kumlea mtoto wa mwezi mmoja? Wajibu huo utamwangukia mkewe ambaye yuko tayari kulibeba jukumu hilo. Yeye ni roho mbaya tu.Huyo mtoto anapoingia ndani tayari anakuwa mwanae pia...so lazima imgarimu malezi yote yanayopaswa mtoto kupewa....kwa lugha nyingine anakuwa baba mlezi na atatakiwa kutoa matunzo yote. Yeye ni Baba na Kichwa cha nyumba. FULL STOP
Nakazia na ukishachapa makofi mara mbili tatu akili uwa zinawakaa sawa. Mie nilishamwambia mke wangu kuwa ukiona nakupiga ujue najutia kukuoa na nakuona kama mwizi ambaye kipigo ndio halali yakeVichapo vingi wanavyopata wake zetu hutokana na mdomo! Mwanamke akiona anapokukwaza kwa maneno hukwaziki, huongeza ukali wa maneno na kuongeza sauti ili udharirike...
Hapo ndo mikono ya mwanaume hunyanyuka yenyewe na kufanya kazi yake ya kichapo bila kutumwa na ubongo. Ndo maana baada ya kichapo wanaume wengi hujutia kuwapiga wenzi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sishauri mtu kulamba matapishi. Asimamie msimamo wake akiyumba tu hapo anaonekana boyaMrudishe wife kisha chukua kachanga ulee mkuu baraka za MUNGU riziki zinaanziga kuja kupitia njia hizo mkuu miaka mitatu ya chuo sio mingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi mtoto wangu niwe nimemzaa kwa mke wangu au kwa mwanamke yoyote yule duniani ana thamani kubwa kuliko mke tuliokutana ukubwani na kuunganishwa kwa kiapo. Mtoto ni damu yangu sitoiacha kamwe ila mke akiniletea upuuzi namwacha ndani ya siku moja tu.Acha kuwa mbinafsi!!
Mkeo umemkosea, umefanya uzinzi, umezaa nje, bado kama haitoshi ukaamua kumlazimisha alee mwanao wa nje, makosa yote haya wewe unadhani unastahili adhabu gani?
Mkeo amefanya uamuzi wa kijasiri sana, kukubali uzinzi wako na kukulelea mwanao wa haramu, mwanamke mwingine asingekubali ujinga kama huo
Umefanya nini wewe kujutia kosa lako?
Umefanya nini kwa mkeo a) Kwa kosa la Kuzaa nje na b) kwa kukubali kumlea mwanao wa nje?
Mkeo bado ana kinyongo kwa makosa uliyomfanyia, ulipaswa kuwa considerate kukubali ombi la mkeo kumlea mtoto wa mdogo wake, angalau ingekuwa kama namna ya kuonesha appreciation kwake kwa ushenzi uliomtendea, bado kama haitoshi unampiga!!!!????
Ndugu zake na wengine wowote wenye akili timamu lazima wamuunge mkono mkeo
Haiingii akilini yaani ushindwe kujidhibiti nyeg zako, uzae nje, na kisha ulete mtoto nyumbani, umlalimishe mkeo amlee, halafu aombe kumlea mtoto wa ndugu yake aambulie kipigo kisa wewe ni mwanaume!!!???
Kwa makosa uliyomfanyia mkeo wewe upigwe mara ngapi!??
Hebu imagine, mkeo angekuwa dada yako na mumewe anamfanyia mambo kama haya unayomfanyia mkeo, wewe kama kaka yake ungejisikiaje!!!!???
Mkeo ni shujaa - amekuvumilia sana, alipaswa kuondoka hapo kwako siku nyingi, lakini uvumilivu wake wewe unauchukulia poa tu, wewe unashindwa naye kumvumilia!!??
Acha ubinafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sijakuelewa.Habar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi.,
Kama tujuavyo mabaharia tunapita na wengi kimasihara, sasa Ktk ptpt zangu nikapata zawadi ya mtoto nje ya ndoa, mama wa uyu mtoto hana maisha ya kueleweka yupo yupo yani kimasihara, ni mtu ambaye yan ht ukiamua umwezeshe kimaisha hawezi., mambo mengi muda mchache.. kwa hiyo mimi kama baba wa uyu mtoto nikamsoma mapema hawezi kumlea mwanangu.
Nikamwambia wife everything going on, hali ilikua tete bt baadae ilibidi tu anielewe, nikamchkua mtoto akiwa na mwaka tu. na mama wa mtoto ye hana hbr yan ndo kwanza nilivomwambia akaona nampunguzia mzigo.
Mtafaruku umeanza pale shemeji wa mimi mdogo wa mke wangu anataka atuachie kichanga cha mwezi mmoja kwa kigezo anaenda kuendelea na masomo ya chuo yaani kwa kifupi kitoto kinamtinga akiwa masomoni. Kapata backup toka kwa dadaye ( mke wangu) kwamba ni sahihi aache huyo mtoto yy akapige shule.
Nilipokataa kwa busara tu za kawaida kwamba mamaye yupo haumwi na kitoto bado kidogo mno, ndipo nilipogeuka adui wa kila mtu si mke wangu, si mashemeji wote wananiona mimi sitaki kutoa msaada wa malezi ya ndugu wa mke..
Mke wangu nae ananikumbusha khsu uyu mwanangu nliempata nje ya ndoa kila ninapinga hili swala. Juzi kanijibu mbovu nikashindwa kujizuia nikampa kibano cha haja kidogo, hadi saivi yupo kwao...
Mabaharia wenzangu, dada zangu na mama zangu wazoefu wa maisha ya ndoa nipeni mwongozo, uhusiano na ndugu wa mke kwa sasa ni mbaya sana.,.
Je ni ubinafsi wangu ndo unaosababisha huu mgogoro? Niumalize huu mgogoro vipi.? Nikipokee kichanga kwa kigezo tu cha mamaye kusoma?
Mtoto wa mwezi mmoja kiuhalisia anatakiwa akae na mama yake mzazi...Habar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi.,

Very true... KAMA KWELI WEWE NI MWANAUME NIPIGE..!!! Kauli hii au inayofanana na hii inawagharimu sana.... Sasa ukute mwanamke anapata sapoti ya kijinga toka kwa familia yake ndo balaa....Vichapo vingi wanavyopata wake zetu hutokana na mdomo! Mwanamke akiona anapokukwaza kwa maneno hukwaziki, huongeza ukali wa maneno na kuongeza sauti ili udharirike...