kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,704
Mjamwepesi nowMkuu hapa itaonekana kama ukatili lakini ni bora ukamlee mtoto wa single mama aliefikisha mwaka mmoja kuliko huyo mtoto wa chini ya mwaka wa shemeji yako.
Ngoja nikuulize umezaa watoto na huyo mkeo?
Mkeo kama huyo mtarajiwa ndio mtoto wa kwanza hajui kiuhalisia mzigo anao ubeba wa kulea kichanga.Mjamwepesi now
Shemeji naye baba mtoto hajielewi elewi, yupo tu kimasihara
Aliyemzalisha naye hajielewi elewi yupo tu kimasiharaKwanini asipeleke kwa aliyemzalisha?
Kwa nn unaishi na shemegi yako ambaye hana cha kufanya hadi anatiliwa mimba kwako? Unajua hadi anatoaga mimba? Dawa mtyombe na wewe hadi dadake ajue atamfukuza.Jamaa alompa mimba nae hana mwelekeo,,, Shem mwenyewe alikua anatoa mimba tena kubwa kbsa ikashindikana mtoto katoka mzima...
Huyu jamaa asipokuwa makini hilo zigo litakuwa lake. Huwezi kufananisha damu yako na damu ya mtu mwingine. Kama yeye alivyoona umuhimu wa kuchukua mwanae, amshauri huyo shemeji yake apeleke mtoto kwa babake.
Hivi kumbe wanawake wengi wapo hivi me nilidhani niwangu2 ndio anatabia zakuniletea mdomomdomo. Bahati yake kumbe wengi wao wapo hivi nilikuwa nafikiria kumuachaVichapo vingi wanavyopata wake zetu hutokana na mdomo! Mwanamke akiona anapokukwaza kwa maneno hukwaziki, huongeza ukali wa maneno na kuongeza sauti ili udharirike... Hapo ndo mikono ya mwanaume hunyanyuka yenyewe na kufanya kazi yake ya kichapo bila kutumwa na ubongo. Ndo maana baada ya kichapo wanaume wengi hujutia kuwapiga wenzi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app