- Thread starter
- #141
Duuh, hiyo bab kubwa, huyo kakuona unastahili kuombwa huo mtaji, tehMm kuna demu mmoja kaniomba mtaji wa milioni nne harafu mke wa mtu sijui kanichukuliaje shenzi zake
Duuh, hiyo bab kubwa, huyo kakuona unastahili kuombwa huo mtaji, tehMm kuna demu mmoja kaniomba mtaji wa milioni nne harafu mke wa mtu sijui kanichukuliaje shenzi zake
Huyo hata mia hanipati, daadekiSasa kwa hasira wewe mpe laki
Kuna wajinga fulani siku hizi wana-edit title na kupost upya, nimepost leo asubuh saana lakin cha ajabu nilivyorud mchana nikakuta kuna mjinga kabadilisha title na kupost post upya.Hizi nyuzi ziko mbili au macho yangu tu
Itakuwa we ndiye ulimzoesha huyu dogo kumpa hela, sasa mmezinguana kaamua kuishi kwa jinsi ulivyomzoesha, nitamwomba mrudiane, mi kanishindaToa pesa wew acha uboya
Sawa lakin kumbuka sisi tunaweza kuoa muda wowote tukitaka, nyie mnasubir maamuz toka kwetu.Umeonaaa eeenh ,halaf hawa wanaume akili zaoo wanawake wana babaikaa na ndoaa, msitu chosher banaa nyinyi wenyewee muna hitaji hizo ndoaa yanii kutu OAA muna onaa kma muna
tusaidiaa eenh ,kwendeniii kuleee
Kama sivyo, sasa inakuwaje wanatulia timing kias hiko, iweje ukiingia kwenye anga zao wanaanza kaz ya kuomba mara moja.Praatt hiv unauhakika wanawake wanaishi kwanjia ya kuhongwaaa?
Kwa speed aliyoanza nayo, ningempa hii nadhan nyumba angeniomba mapema wiki ijayo....Ulitaka uombwe Nyumba?..[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Kweli kabisa mkuu, hawa watu wanapima saana upepoUkipigwa mzinga moja ukikubali subiri mvua ya mizinga. Mwisho unatimka bila kuaga
🙄 ni kweri..Kwa speed aliyoanza nayo, ningempa hii nadhan nyumba angeniomba mapema wiki ijayo.
Salam,
Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?
Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious?
Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hatupendi kuombwa hela bali tunapenda kutoa wenyewe bila kuombwa, mfano mzuri ni mwenyewe, mi ni mhongaji mzuri sana ukiendana na itikadi zangu vizuri mbona utafurahi mwenyewe.
Halafu saa zingine ninajiharibia wenyewe mambo mazuri, mfano huyu dogo nilikuwa namuwazia mipango ya muda mrefu lakini kwa kitendo alichofanya jana nimemuona ni gold digger mzuri tu na hivyo mpango wangu umekufa.
Swali langu: Je mnafanya hivi kutaka kutupima upendo wetu au mnataka kutukomoa? Tabia hizi mbovu mbovu ndizo zinazotu-force hata sisi tuombe papuchi mapema kwasababu ya hizo tabia zenu mbovu.
Mbadilike bwana, alaa.
Wewe angekutangulizia papuchi usingebisha
Watu wanaolalamika ni wale wasiojua kusoma alama za nyakati.....hizi ni nyakati ambazo mapenzi yamekuwa bidhaa kama zilivyo bidhaa zingine sokoni......siku hizi mapenzi hayatokani na uzito wa huba mioyoni mwetu bali ni kutokana na uzito wa kilichopo kwenye mfuko wa mwenye kuhitaji upendo......
Kwa lugha nyepesi ni kuwa tunaishi kwenye nyakati ambazo tupu ya mwanamke imekuwa ni moja ya vyanzo vya mapato ya wanawake.....
Hivi unadhani 40K ni pesa ndogo eenh, tofali ngapi hizo kijana? cement ngapi hizo...we endelea kuhonga ukidhani utapata nishani.Aisee, unapoteza muda wote mwanaume kulalamika kuombwa 40,000 Tsh. Si ungempa tu kama msaada.