Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Ukitoa hiyo hela 40,000 usisahau kudai risiti!
Ya EFD sio, wapo wengi wenye hulka hiyo sasa inategemea we umejipangaje ila wao ukiomba papuchi jibu lao mbona haraka hivyo hata hatujazoeana sasa sijui inachukua muda gani kuzoeana pesa Haina kuzoeana siyo. Usawa uwapi?
 
ndo walivyo hawa
ila simple tu
gero:baby naomba ela nikasuke
men : tshs ngap
gero.: elf 40 pamoja na lasta nataka nibondi
men: ok baadaye si utakuja home
gero: oooh siwezi 7bu hapa kuna wageni shangazi kaja siwezi kumuacha peke yake
men. ok
gero : sasa utanitumia au

hapo unatakiwa umwambie tu ukweri aje umtom*e umpe hiyo 40 au lah ! amwambie shangazi yake ampe hiyo 40 ya kusuka
ama kila mtu akafie mbele na shida zake
usijipe imani eti nikimpa hii pesa atanipenda 7bu ataniona namjali utapotezwa maboya wanawake wa sasa hv hawapo hvyo ni waongo na washenzi kupindukia ni kwenda nao kibandidu kama walivyojitoa akili wao yaan JINO KWA JINO
Haahaahaaa....
apewe na anti yake au aje aliwe... Nimeipenda.
 
Salam, kwa msikito makubwa nalaani kitendo chako cha kuedit posts zangu? Yaani post hii nimeipost masaa kadhaa yaliyopita lakin cha ajabu nakuja kuchek naona kwanza ume-edit title nzima pamoja na kubadilisha baadhi ya maneno kwenye post yangu. Why are you doing this man?

Haki ya nan hii tabia ni kinyume cha sheria, unafanya plagiarism mpaka humu bab, aisee umeni-bore sana otherwise nipe maelezo ya kutosha kuhusiana na kitendo hiki.
Itakuwa Bahati mbaya sana siwez kufanya hivo msorry
 
Hivi makungwi wa zamani hawakufanya handing over kwa makungwi wa sasa? Au mabinti hawafundwi siku hiz?
 
Kwa kweli wanawake ni ombaomba karibia wote, ukifahamiana nae leo, kesho anaomba hela.
 
Hahaha bro bora tu umesema asee... Mim wiki iliyopita tu kuna mdada alinitext fb like a moth ago, sasa wiki iliyopita nikawa nimemjibu, baada ya kuchart kidogo akawa amenieleza anakokaa...

Ningekuwa na uwezo ningeleta zile charts hapa, lakini siku yenyewe akawa ameniambia gas yake imeisha so akaniomba nimtumie hela, nkamliza bei gani akanitajia 30,000/=
Mie nikawa sina hiana akanipa namba yake nikamtumia, maana mtoto mwenyew Mangi halafu anaita ... Nikamtumia, baada ya hapo kaanza kunielezea mpaka familia yake, yaan katoa siri hata zile ambazo sikupaswa kujua, just for a single day na wala simfaham, hanifahamu.

Tumeendelea hivyo na charts zake lakini baada kama ya siku tatu akaja na mzinga mwingine, anadai kuna simu ya Laki 4 na nusu anauza college mate wake lkn hana pesa ya kutosha kuinunua na anaipenda, nikamuulza ana kiasi gani kaniambia Laki mbili. Nikasema duh hawa watoto nuksi kweli...


Kwa hiyo uvumilie tu kaka ndio yalivyofikia sasa. Haya na maana teh teh... Bora nimsubrie form 6 wangu teh
 
Wanatia AIBU,kwani kabla ya huyo ulomkuta barabarani kwanza ulikua unajimudu vipi shida zako? halafu mtu hata haya hana
Uso mkavu akiandika sms yakuomba hela,kwanza usipo muomba hela unampa mtihani akupe ngapi? sasa unaomba 40 yani hapo unamanisha mwanamke ndio dau lako mwisho hapo? haya watajiju........
haaaahaaaaa nmecheka hatari
 
Mkuu umejisahau ukapost mada moja kwa Id Tofauti,

Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Nakukumbusha tu bosi wangu.
Nashukuru kwa kuliona hilo na wewe, kuna watu humu ndani sijui ndo moderators sijui watu gan, kazi yao ni ku-edit title na posts za watu then wanazipost teena, huu ujinga nimeulalamikia sana hapo juu, scroll juu utaona complaints zangu
 
sio kosa lako najua we ni miongoni mwa wanaume wa dar! iv nikuulize ubahir wako utakupeleka wap??? hiyo gold digger unazan umeiona peke yako? je unazan alpokukubalia upo peke yako katka list yake??? by the way mpo weng na wew aNakujarbu hakuna mwanamke anaependa kuish na mwanaume mchoyo!
Khaa, nawe unashabikia mizinga?

Mkuu, huu sio ubahili, mi nahonga lakini sio kwa style hiyo, yaan jana tu eti leo una shida kweli? Acheni hizo banaa
 
Salam,

Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?

Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious?

Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hatupendi kuombwa hela bali tunapenda kutoa wenyewe bila kuombwa, mfano mzuri ni mwenyewe, mi ni mhongaji mzuri sana ukiendana na itikadi zangu vizuri mbona utafurahi mwenyewe.

Halafu saa zingine ninajiharibia wenyewe mambo mazuri, mfano huyu dogo nilikuwa namuwazia mipango ya muda mrefu lakini kwa kitendo alichofanya jana nimemuona ni gold digger mzuri tu na hivyo mpango wangu umekufa.

Swali langu: Je mnafanya hivi kutaka kutupima upendo wetu au mnataka kutukomoa? Tabia hizi mbovu mbovu ndizo zinazotu-force hata sisi tuombe papuchi mapema kwasababu ya hizo tabia zenu mbovu.

Mbadilike bwana, alaa.
40,000 ya kujazia fomu ya maombi
 
Yaani kuna wakt natamani mtu anaiombe hela afu ni mdekee deke pale ni mtoe sema ndio ivo penye mingi hakuna wajezii....heshima kuhudumiaa aise
 
Sema umemaindi kwa sababu umeombwa wakati huna hiyo hela bwana... wanaume mko kibao unadhani umemtongoza peke ako, mpe hela
Siwezi kumpa kwa style hii aliyotumia, atazoea huyu, jinga kabisa
 
Salam,

Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?

Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious?

Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hatupendi kuombwa hela bali tunapenda kutoa wenyewe bila kuombwa, mfano mzuri ni mwenyewe, mi ni mhongaji mzuri sana ukiendana na itikadi zangu vizuri mbona utafurahi mwenyewe.

Halafu saa zingine ninajiharibia wenyewe mambo mazuri, mfano huyu dogo nilikuwa namuwazia mipango ya muda mrefu lakini kwa kitendo alichofanya jana nimemuona ni gold digger mzuri tu na hivyo mpango wangu umekufa.

Swali langu: Je mnafanya hivi kutaka kutupima upendo wetu au mnataka kutukomoa? Tabia hizi mbovu mbovu ndizo zinazotu-force hata sisi tuombe papuchi mapema kwasababu ya hizo tabia zenu mbovu.

Mbadilike bwana, alaa.
Nakuunga mkono braza yaani hawa madada sera zao ni pesa tu hawana jipya
 
Mm kuna demu mmoja kaniomba mtaji wa milioni nne harafu mke wa mtu sijui kanichukuliaje shenzi zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom