Kwani yeye ni baba ako?mbona we ulinitongoza kwani unadhani nilikuwa nimejiandaa kutongozwa? sasa ombi lako nimekubali na wewe kubali kutatua shida zangu ........🙄🙄
Nimecheka sana!!inategemea na mwonekano wako na ulivyojishaua kwangu
hahahahaAnko magu amesisitiza lazima uwe mzalendo kwa nchi yako kwa kudai risiti kwa kila transaction mkuu,hakikisha huyo binti anakupatia risit ya ankra 40000
si anaomba upenzi na anaenda kunionyesha vitu baba anavyona anavyofanyagaKwani yeye ni baba ako?
Salam, kwa msikito makubwa nalaani kitendo chako cha kuedit posts zangu? Yaani post hii nimeipost masaa kadhaa yaliyopita lakin cha ajabu nakuja kuchek naona kwanza ume-edit title nzima pamoja na kubadilisha baadhi ya maneno kwenye post yangu. Why are you doing this man?Wanapiga mizinga ile mbaya
HAHAHA USITONGOZE TULIA NA PESA ZAKO NA YEYE ATULIE NA PAPUCHE YAKEPASUA UWAPE UKWELI
Salam,
Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?
Yaani mtu amekutokea jana tu halafu leo unamtumia text eti una sh 40,000, uniazime?
Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kuombwa hela bali kutoa wenyewe bila kuombwa.
Halafu saa zingine mnajiharibia wenyewe mambo mazuri, mfano huyu dogo mmoja alikuwa anawaziwa mipango ya muda mrefu na rafiki yangu mmoja lakini kwa kitendo alichofanya jana jamaa anamuona ni gold digger mzuri tu na hivyo mpango wake umekufa.
Swali langu: Je mnafanya hivi kutaka kutupima upendo wetu au mnataka kutukomoa? Tabia hizi mbovu mbovu ndizo zinazotulazimisha hata sisi tuombe papuchi mapema kwa sababu ya hizo tabia zenu mbovu.
Mbadilike bwana, alaa.
PASUA UWAPE UKWELI

Kwani JF na Huko Kunatofauti Gani?..... We mwenywe ukiombwa Hela siku ya Pili Lazima ujiulize Maswali Acha Vunga za Kitoto humu ndanisasa ndo unakuja wasemea humu? neda kaweke mabango barabarani na sambaza ujumbe wako kwa vipeperushi
na pia tumia Tv na redio hata magazeti
Halafu unaombwa elfu 40 tu unalalamika hivyo?mbona we ulinitongoza kwani unadhani nilikuwa nimejiandaa kutongozwa? sasa ombi lako nimekubali na wewe kubali kutatua shida zangu ........🙄🙄
teh teh teh Wajinga ndio waliwao. Mchomolee liveSalam,
Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?
Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious?
Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hatupendi kuombwa hela bali tunapenda kutoa wenyewe bila kuombwa, mfano mzuri ni mwenyewe, mi ni mhongaji mzuri sana ukiendana na itikadi zangu vizuri mbona utafurahi mwenyewe.
Halafu saa zingine ninajiharibia wenyewe mambo mazuri, mfano huyu dogo nilikuwa namuwazia mipango ya muda mrefu lakini kwa kitendo alichofanya jana nimemuona ni gold digger mzuri tu na hivyo mpango wangu umekufa.
Swali langu: Je mnafanya hivi kutaka kutupima upendo wetu au mnataka kutukomoa? Tabia hizi mbovu mbovu ndizo zinazotu-force hata sisi tuombe papuchi mapema kwasababu ya hizo tabia zenu mbovu.
Mbadilike bwana, alaa.
sasa sijui ingeongezwa sifuri mbili mbele nadhani angazimia kabisaHalafu unaombwa elfu 40 tu unalalamika hivyo?
mbavu zangu mie uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ahahahahahahahahahahahahahahah kwakwakwakwakwakwakwakwawkwRaha gani wakati mna vibamia na vimbilimbi wengine, mpe hela kwanza mengine ya raha hayana guarantee