- Thread starter
- #121
Issue sio kutokuwa na hela bali ni style kuombwa hela, mbona wao tukitaka papuchi huwa wanasema mapema saana?Kama huna pesa kiherehere cha kutongoza unakitoa wapi?
Issue sio kutokuwa na hela bali ni style kuombwa hela, mbona wao tukitaka papuchi huwa wanasema mapema saana?Kama huna pesa kiherehere cha kutongoza unakitoa wapi?
Wanaume kila kukicha kulalamika mno, sijaona shida yyote hapo kwan walikotongozeana hata mazingira yao wanajuana,Kwani JF na Huko Kunatofauti Gani?..... We mwenywe ukiombwa Hela siku ya Pili Lazima ujiulize Maswali Acha Vunga za Kitoto humu ndani
Weee, nikutongoze leo siku hiyo hiyo uachie, yaan hata kama nikiamua sitakuwa na mood nzur, na nikitoka ndo basi tena.Wewe angekutangulizia papuchi usingebisha
Maumivu ya kichwa huanza polepoleAcha uoga kijana!...40000/ kitu gani bhana? Mpe..
Aaah wap, acheni tabia mbaya hizo, baba hapendiWanaume wengine ni mikosi ukishamkubali tu, unaanza kuwa na shida na pesa, nadhani na wewe mmoja wapo ha ha ha ha ha lol.
Jinga saana hawa watoto, wanawaza kusuka tu, shee kabisaNdio kawaida yao c shangai... saa nyingine unaweza mkawa rafiki tu wa kawaida ila... daaa ...shida zinakuwa nying... mtu hutoa fedha kwa utashi wake au huruma yake kwako... ila hivyo vimzinga mnavyopiga siyo kabisa.... usione mtu ananyumba au usafiri ukajua hela zipo watu wanaishii kimahesabuu.....mtu anakopa anafanya mambo yake anatulia .... sasa utasikia baby naomba fedha nina shida ya lakii... cjui nini... vikaenda vikarudi....kisa kakuona na mkoko barabaraniii....
Pole brotherAisee huyo demu kiazi tena kilichooza achana nae mm kuna demu namtongoza leo kesho ananiomba elfu 50,000 ile kumpa hajakaa hata week kanipotezea mwenyewe kajiona mjanja tulia namlia timing tuu.
Itabd we ndo ujichunguze, kwani hujui kwamba mwanaume anaweza akakuhesabia mwaka mzima kwa kukuchunguza nyendo zako bila hata kuonesha interest zozote?Mtu umtongoze jana tayar uwe na mipango nae mirefu ...jchunguze upya
Hapana, siyo wa Sinza, ila kama wa Sinza wanabehave hivyo basi atakuwa ana rafiki au dadake pande hizo ndiye anamwambukiza hizo tabia, tehSio demu wa Sinza kweli huyo braza?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekesha saana mkuu, sasa sijui wao hayo mazoea ya pesa wanayatoa wap?Ya EFD sio, wapo wengi wenye hulka hiyo sasa inategemea we umejipangaje ila wao ukiomba papuchi jibu lao mbona haraka hivyo hata hatujazoeana sasa sijui inachukua muda gani kuzoeana pesa Haina kuzoeana siyo. Usawa uwapi?
Most of them wako hivyo yaani kwao papuchi ni mtaji siyo raha
Umeonaaa eeenh ,halaf hawa wanaume akili zaoo wanawake wana babaikaa na ndoaa, msitu chosher banaa nyinyi wenyewee muna hitaji hizo ndoaa yanii kutu OAA muna onaa kma munaMtu umtongoze jana tayar uwe na mipango nae mirefu ...jchunguze upya
Kwa hiyo mpaka hapo ushalipia 230,000/= mkuu? Na kama umeshalipia, vp tayar ushapga mzigo au unawekeza kwanza.Hahaha bro bora tu umesema asee... Mim wiki iliyopita tu kuna mdada alinitext fb like a moth ago, sasa wiki iliyopita nikawa nimemjibu, baada ya kuchart kidogo akawa amenieleza anakokaa...
Ningekuwa na uwezo ningeleta zile charts hapa, lakini siku yenyewe akawa ameniambia gas yake imeisha so akaniomba nimtumie hela, nkamliza bei gani akanitajia 30,000/=
Mie nikawa sina hiana akanipa namba yake nikamtumia, maana mtoto mwenyew Mangi halafu anaita ... Nikamtumia, baada ya hapo kaanza kunielezea mpaka familia yake, yaan katoa siri hata zile ambazo sikupaswa kujua, just for a single day na wala simfaham, hanifahamu.
Tumeendelea hivyo na charts zake lakini baada kama ya siku tatu akaja na mzinga mwingine, anadai kuna simu ya Laki 4 na nusu anauza college mate wake lkn hana pesa ya kutosha kuinunua na anaipenda, nikamuulza ana kiasi gani kaniambia Laki mbili. Nikasema duh hawa watoto nuksi kweli...
Kwa hiyo uvumilie tu kaka ndio yalivyofikia sasa. Haya na maana teh teh... Bora nimsubrie form 6 wangu teh
Acha kabisa ni hatar, uzoef unaonesha kwamba ukitoa hiyo basi next time jiandae kupgwa hata mara mbili zaid40,000 ya kujazia fomu ya maombi
Jinga saana hawa, hivi tukianzisha mgomo wa kutohonga hawa watu wataishije?Nakuunga mkono braza yaani hawa madada sera zao ni pesa tu hawana jipya