Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Kama wewe hivo ndio hata ndoa hamna! Mnatuharibia sana mapozi. Kitu ukishakilipia fedha kina maana gani hasa
Umeharibiwa vipi pozi? Wewe si umesema shida yako sasa yeye akikueleza yake unapanic nini!
 
ndiyo maana yake .. we unatatizo la pendo mimi nina tatizo la shida
tujifunze kutoka china mwanamke awe mzuri kiasi gani kama hana kazi au kipato chochote cha kueleweka hawezi kupata mume hivyohivyo kwa mwanaume pia bila kazi au shughuli yeyote kuoa utakusikia kwa wengine kwahiyo hapo tutaweza kupunguza vizinga vilivyo ongezeka
 
tena wenye kazi ndiyo wanamizinga balaa
 
mbona we ulinitongoza kwani unadhani nilikuwa nimejiandaa kutongozwa? sasa ombi lako nimekubali na wewe kubali kutatua shida zangu ........🙄🙄
Ukifanya hivyo nakuona unafanya biashara. .....issue sio hela mfahamu na jipe Muda mbona kama kusaidiana ipo tu wengine hata million kadhaa tunatoa tu
 
Ukifanya hivyo nakuona unafanya biashara. .....issue sio hela mfahamu na jipe Muda mbona kama kusaidiana ipo tu wengine hata million kadhaa tunatoa tu
aisee mkuu acha bana kwa hiyo nife na njaa kisa nasubiria milion hapana aisee
 
nasema sina hela af nasikilizia kama vpasepe mapemaaa mi natoa hela ila si kwa mazingira hayo.....tena zawadi kila kitu sema hawajui timing nzuri huwa wanawaza mizinga yani wamepata pa kuponea...ndo mana kuna demu wa kuchapa tu n akusepa na kuna wa kuwa list muhimu just in case....unaweka ndani
 
mimi nashangaa sana wanaume wanaoteseka kisa mapenzi..

demu kama huyo unapiga Mbupu alafu unapita zako hivi..
cos hizi nyuchi zimejaa kibao kitaani ni ww tu kijichagulia nataka hii au ile...

BTW pesa kwanza kwa mwanaume mapenzi badae.. tafuta pesa dili na mambo yako na siyo kuwawazia hawa viumbe
 
Baadhi ya wasichana wa dunia hii ya kisasaa ni kiraha na janga kwa taifa..a.k.a majipu sugu.
 
mbona we ulinitongoza kwani unadhani nilikuwa nimejiandaa kutongozwa? sasa ombi lako nimekubali na wewe kubali kutatua shida zangu ........🙄🙄
miss chagga: mada hizi zinakufaa kwani zahusu ujana - nipe nikupe. Mpeane somo la kujenga nchi pasipo kupigana mabomu. Mpeana elimu ya ujasiriamali ili kuondokana na ombaomba.
 
Hao wamelogewa pesa na hawana aibu hata kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom