Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Salam, kwa msikito makubwa nalaani kitendo chako cha kuedit posts zangu? Yaani post hii nimeipost masaa kadhaa yaliyopita lakin cha ajabu nakuja kuchek naona kwanza ume-edit title nzima pamoja na kubadilisha baadhi ya maneno kwenye post yangu. Why are you doing this man?

Haki ya nan hii tabia ni kinyume cha sheria, unafanya plagiarism mpaka humu bab, aisee umeni-bore sana otherwise nipe maelezo ya kutosha kuhusiana na kitendo hiki.
Amesema imemtokea rafiki ake na labda mtoa mada ni mtu wako wa karibu na ameelezea kisa chako ulichomwadithia ila hizo ID FAKE ndo zimeleta shida..
 
Watu wanaolalamika ni wale wasiojua kusoma alama za nyakati.....hizi ni nyakati ambazo mapenzi yamekuwa bidhaa kama zilivyo bidhaa zingine sokoni......siku hizi mapenzi hayatokani na uzito wa huba mioyoni mwetu bali ni kutokana na uzito wa kilichopo kwenye mfuko wa mwenye kuhitaji upendo......

Kwa lugha nyepesi ni kuwa tunaishi kwenye nyakati ambazo tupu ya mwanamke imekuwa ni moja ya vyanzo vya mapato ya wanawake.....
Atakuwa amekuelewa
 
Amesema imemtokea rafiki ake na labda mtoa mada ni mtu wako wa karibu na ameelezea kisa chako ulichomwadithia ila hizo ID FAKE ndo zimeleta shida..
Hapana mkuu, hawa jamaa siku hizi ndo tabia zao.

Hapo hakuna cha hadithi wala simulizi bro, ukitaka uamin kama huu upuuz wanaufanya jaribu kupost kitu uone baada ya saa 1 utakuta post yako inamilikiwa na mtu mwingine, na like pamoja na comments hutaziona bali zitakuwa zinaenda kwa jamaa.

Jinga haya yanacopy na kupaste posts za wengine.
 
Salam,

Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?

Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious?


Mbadilike bwana, alaa.
Nipe nikupe, nilimjibu miss chagga.

Kama kakuomba hiyo sh 40,000 kwa sms nawe mwombe kitu yake kwa sms. Mkubaliane kukutana mpeane. Mambo yanakuwa sare, mnaachana.

Naamini nia yako pia haikuwa mapenzi ila kitu chake, la mpende akupendaye mpendane.
 
Aisee huyo demu kiazi tena kilichooza achana nae mm kuna demu namtongoza leo kesho ananiomba elfu 50,000 ile kumpa hajakaa hata week kanipotezea mwenyewe kajiona mjanja tulia namlia timing tuu.
 
mbona we ulinitongoza kwani unadhani nilikuwa nimejiandaa kutongozwa? sasa ombi lako nimekubali na wewe kubali kutatua shida zangu ........🙄🙄
unausa shinngapi dadake😵
 
Mtu umtongoze jana tayar uwe na mipango nae mirefu ...jchunguze upya
 
Raha gani wakati mna vibamia na vimbilimbi wengine, mpe hela kwanza mengine ya raha hayana guarantee


achana na vibamia me nnahii nisake nkulishe....

upload_2016-4-5_15-48-57.jpeg
 
ndo walivyo hawa
ila simple tu
gero:baby naomba ela nikasuke
men : tshs ngap
gero.: elf 40 pamoja na lasta nataka nibondi
men: ok baadaye si utakuja home
gero: oooh siwezi 7bu hapa kuna wageni shangazi kaja siwezi kumuacha peke yake
men. ok
gero : sasa utanitumia au

hapo unatakiwa umwambie tu ukweri aje umtom*e umpe hiyo 40 au lah ! amwambie shangazi yake ampe hiyo 40 ya kusuka
ama kila mtu akafie mbele na shida zake
usijipe imani eti nikimpa hii pesa atanipenda 7bu ataniona namjali utapotezwa maboya wanawake wa sasa hv hawapo hvyo ni waongo na washenzi kupindukia ni kwenda nao kibandidu kama walivyojitoa akili wao yaan JINO KWA JINO
 
Nshachoka na hiz post kila cku wanawake tu wanawaomba hela, kwani mnashindwa kuwanyima
 
Prostitute- a woman who engages in sexual intercourse for money. If you are not one then don't act like one.
 
Yaani kelele zote umeombwa 40,000....wewe wa wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom