Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

Bila shaka maelezo yako yalimpa mwanga kwamba pesa kama hiyo si tatizo kwako. Dunia ya sasa mambo ni fasta fasta. Kama wewe hutaki kuzungushwa ukitupa ndoana, basi hata wao wapo wasiotaka kuremba. Tuma hiyo hela au mwambie sina hela.
 
Salam,

Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?

Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious?

Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hatupendi kuombwa hela bali tunapenda kutoa wenyewe bila kuombwa, mfano mzuri ni mwenyewe, mi ni mhongaji mzuri sana ukiendana na itikadi zangu vizuri mbona utafurahi mwenyewe.

Halafu saa zingine ninajiharibia wenyewe mambo mazuri, mfano huyu dogo nilikuwa namuwazia mipango ya muda mrefu lakini kwa kitendo alichofanya jana nimemuona ni gold digger mzuri tu na hivyo mpango wangu umekufa.

Swali langu: Je mnafanya hivi kutaka kutupima upendo wetu au mnataka kutukomoa? Tabia hizi mbovu mbovu ndizo zinazotu-force hata sisi tuombe papuchi mapema kwasababu ya hizo tabia zenu mbovu.

Mbadilike bwana, alaa.
Wamechoka kukopwa
 
hali ya maisha kakaa si nzuri kama una kitu toa kama hauna mweleze tu ukweli ,sio kulalamika bro ! tunasaidiana atakupa papuchi as you wish.
 
PASUA UWAPE UKWELI
Salam,

Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?

Yaani mtu amekutokea jana tu halafu leo unamtumia text eti una sh 40,000, uniazime?

Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kuombwa hela bali kutoa wenyewe bila kuombwa.

Halafu saa zingine mnajiharibia wenyewe mambo mazuri, mfano huyu dogo mmoja alikuwa anawaziwa mipango ya muda mrefu na rafiki yangu mmoja lakini kwa kitendo alichofanya jana jamaa anamuona ni gold digger mzuri tu na hivyo mpango wake umekufa.

Swali langu: Je mnafanya hivi kutaka kutupima upendo wetu au mnataka kutukomoa? Tabia hizi mbovu mbovu ndizo zinazotulazimisha hata sisi tuombe papuchi mapema kwa sababu ya hizo tabia zenu mbovu.

Usipowaoa na wewe hautaoa ng'oooo!
 
Poleni sana... ukiona hivyo ujue huyo mwanamke yupo ki maslahi zaidi...
 
Mwanamke mzur ni mtaj tosha, atakaa mjin hapa bila kaz, lakin atavaa, atakula na ataishi... Na hizo ndio target zao... So akil kichwan kwako
 
As funny as it sounds, anaweza akamuoa vilevile
Wats wrong kuomba kama una shida,elf 40 is very petty kutupa uhusiano mzima..hana jema lingine huyo binti
 
Hadi uombwe hela haraka hivyo na wewe utakuwa umetoa viashiria flani flani vya kupigwa mzinga.

Wengine kama sisi ukituangalia tu usoni lazima ujistukie kwa jinsi ambavyo hatupigiki mizinga kirahisi rahisi!
Hahahhahahaha u made my day
Mtu unakuta hamjaonana ashaanza kutuma tuma vocha za laki,mara sijui nini,lazma utaombwa milioni ndo umejiposition hivo mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom