Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

baba v
kweli najua aliko kwa kuwa ni my son, slave kwani mnapoambiwa ruhazwe jr alipata matatizo, akiwa kwenye matatizo
na yeye akaugua, ni nini ambacho hauelewi, hiyo laki moja ndo inakutoa imani?
Unajali pesa kuliko utu? Mi mwenyewe nilisema natoa zawadi ya mshindi na. 3 lakini
na haraka haraka zako hata jina langu silioni,
why all these man? Hivi ulishawahi kupata shida kweli?
Na wakati mwingine we are all grown up (isipokuwa noahism ndo mtoto)
tuangalie pia shida za wenzetu,
tell me who have already contributed some cash for that purpose so i may refund the same.
nakukaa kwako mjini hapa umekuwa mwepesi kuamini watch utaibiwa mjini hapa jamaa amekula hela kaja na id nyingine matapeli wengi mjini hapa.ila haitamsaidia kitu na wala hana mpaka leo kama kweli amekula na ninaimani amekula haumwi wala nini kwanini aumwe baada tu yakupokea pesa??????????
 
Nivea kwani ulichangia bei gani?

nakukaa kwako mjini hapa umekuwa mwepesi kuamini watch utaibiwa mjini hapa jamaa amekula hela kaja na id nyingine matapeli wengi mjini hapa.ila haitamsaidia kitu na wala hana mpaka leo kama kweli amekula na ninaimani amekula haumwi wala nini kwanini aumwe baada tu yakupokea pesa??????????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom