Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Nicas Mtei
kweli nilipelekwa kijijini ili nikajifunze maadili kutokana na kufanya chabo siku ya white party,
nikiwa kijijini nikakutana na wewe mkwe wangu rejea mazungumzo yetu ya awali
ndipo ukaamua kunipa mtaji wa biashara ya nguo. Nilipoenda dubai kuchukua mzigo wa nguo
nikakutana na mzungu akanipenda na sasa naendelea kula mema ya nchi.

Kweli mkwe? bdo upo kijijin?
 
Last edited by a moderator:

Okay mkwe. Mimi nlijua kuwa Vin Diesel alikurudia baada ya wewe kuanza biashara.. Mzungu wako hajambo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom