Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

nakukaa kwako mjini hapa umekuwa mwepesi kuamini watch utaibiwa mjini hapa jamaa amekula hela kaja na id nyingine matapeli wengi mjini hapa.ila haitamsaidia kitu na wala hana mpaka leo kama kweli amekula na ninaimani amekula haumwi wala nini kwanini aumwe baada tu yakupokea pesa??????????
mie simo Nivea
 
Last edited by a moderator:
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti " -by jf member

Nivea hii signature ina ukweeee!!!!!!!!! ukweli tupu
 
Last edited by a moderator:
Dhiki, shida, mitihani humfika kila mtu.
Aloumbwa duniani kukwepa hatothubutu!

Mimi nimeona karibia kila taarifa tulizopewa kuhusu Ruhazwe JR.
Zilikuwa hazieleweki sasa sijui walitegemea nini kumuachia kila mtu assume kivyake.
Kitu kingine mlikuwa mnajipredictia . . . zitaletwa siku flani, mara soon akirejea, mara tarehe ngapi.
Tarehe inafika watu wanahoji . . . . lakini hakuna ufafanuzi ilihali kuna ndugu yake.

Mara ikafika siku mhusika mwenyewe akawa online . . lakini kimya.
Mpaka watu wameweka notions tofauti . . . ndo lawama zinaanza kwamba watu wamekosa sympath/utu, wengine wanaulizwa umelipa sh. ngapi urudishiwe . . . LOL!

Unaweza ukawa na huruma na utu kiasi kwamba ukataka kujitwisha mzigo wa mwenzio.
Lakini kumbuka tu kwamba ( najua unaelewa), kumwambia mtu mzima mwenzio neno la kitoto pana matokeo yake...tofauti na mtoto kumwambia mtu mzima neno la kitoto/kikubwa!
 
Last edited by a moderator:
Kipipi nina uhakikika hatawewe ungefanikiwa kuniona kwa wakati ulie ungedata.lakin baya zaidi utakubaliana na mimi kuwa swala zima lilivyokua linaendeshwa ilikua si rahs kuiambia familia kuwa jamain ehee mi ninaendesha kitu flan jf.lakni niseme tu kiufupi,pale tulipofikia haikua dhamila yangu.hata wewe nizidi kukuomba samaha,uwezo wangu ulifika mwisho,tena mwisho kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom