Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Unatutungisha Slave.....huoni Passion Lady yupo kimya....
Heee!wewe!mwambie ni private meetng asikufwate ataleta chenga chenga!@Slave

kama vp nenda basi ila mambo yakiwa poa ni dipu nitakuja fasta.
Hatubakani,nimemkaribisha dinner tu kiroho safi,mi nipo na swr wangu hatugombwi na mtu!so usijali!
nani au Vin Diesel ?
Nawaona semeni mpaka mwisho.
hata mie natakiwa ktk hiyo meeting nina point za kuzungumzia Passion Lady
Nawaona semeni mpaka mwisho.
Ndelejha huyo mtoto ni mchoyo sana au anahuruma sana sijakusoma kidogo.
Kuna wa kuwakaribisha, lakini sio huyo dogo..!!!
Kwan imekuaje? Wewe na Vin mmerudiana?
- :bounce: Ni kwa uzuri kabisa,unatafutwa unaweza bahatika na mwaka ukauanza vizuri @Mamndenyi!
Passion Lady mi bahati tayari ninayo
na mwaka wangu umeanza fresh kabisa so
sihitaji mbereko ya mtu.
Mkwe
hii ni kitu ingine kabisa mkwe,
nothing is going on here.
Passion Lady mi bahati tayari ninayo
na mwaka wangu umeanza fresh kabisa so
sihitaji mbereko ya mtu.
Passion Lady
asante atakapopita pita humu atapata taarifa.