Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
wee mpe kila la heri huko aendako
hahahha, jamani hii avatar yako wa stendi
1539080474121.png
 
Mkuu yani unajua hadi ananitisha. Nimemuuliza swali, kuwa anavuta bangi? akanijibu kwa kifupi kuwa hata South Africa inaruhusiwa. yaani hadi muda ninavyotaipu hii comment bado sms zinaendelea kuingia za kuwaaga wanaJF!!
sasa mbona hutuagi? fata maelekezo kama hujaelewa muulize na hana jibu potezea eeeboo
 
Kama huyo mtu ana uwezo wa kutuma Message anashindwa nini kufungua uzi maalum wa kuwaaga wana jf, ama kukoment basi kwenye uzi mwngine aage!
Kama ni mtu mnakaaga mahali mnapata vitu mbalimbali obvious utakuw unajuana na rafiki zake wengine, Jaribu kucheki nao kama kuna ambae mshkaji amewasiliana nae au anataarifa zake, au uwaombe wamchek ili ujue moja!
Huenda pia ni utani wake kwako coz hatujui mipaka yako na yeye
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom