...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

u a ryt
jana nilikuwa nasikiliza mafundisho hayahay kutoka kwa mtumishi m1 hiv,
aisee wanaume acheni kuangalia mtu wakp ana uwezo gani, ht km anavyo play u a part ht km kidogo cc huwa tuna thamini sn vya kununuliwa au kupewa na wapenz/waume zetu ht km kidogo namna gani.
shida yenu wengi bado hamjui haya mambo hayana uhusiano na mwanamke wako ana uwezo gani

sio wote narudia tena sio wooote!
 

jamani kuna rah yake si uongo
ila kutokuomba nayo inaleta heshima
akupe mwenyewe,lkn wanaume wa siku hizi
usipoomba hakupi aisee,utabaki kukodoa mimacho tu!!

Ungekuwa huna mwanaume wa kumuomba hela ungefanyaje? Ungechukua bakuli kwa staili ya Matonya?? Na hizo hela unaomba za nini wakati una kazi yako.

Hizi ombaomba ndo zinawafanya wanaume waingie mitini. Bibi yenu sijawahi sikia akiniomba hela. Zawadi nlompa, ATM card inakaa kwenye dressing table, akiwa na shida anenda kujizolea. Bahati nzuri hashobokei hela.

Angeshobokea hela, ATM card yangu asingeigusa kama ambavyo haigusi simu yangu. Na hata akiigusa anakutana na bonge la password. Hii ilianza pale alipokuwa ananivizia nimelala usiku, anaperuzi simu yangu. Nikambamba!!!!
 
^^
Tumeambiwa tuwapende..hatukuambiwa tuwape pesa!
Usibadili maandiko wala kuwafanya walioandika kudhani kuwa pesa hawakuzijua..zilikuwepo.
Pesa si upendo..
Nikukupa pesa haina maana nimekupenda.. Kupenda ni kukupa moyo usio na mifupa uutawale.
Btw
Kwa kuwa kwako upendo una maana ya pesa,, si kwa wote
^^

Himidini, mmeambiwa mtupende kimwili na kiroho na mtu tunze
 
Last edited by a moderator:
Kumnunulia kitu mtu wako au kumpa hela mtu wako c kama umemuhonga tofautisha uliemchagua na unarmnunua kwa muda nyani tumia akili kufikiri sio kila jambo unabisha tu.
Hebu pigeni kazi mtengeneze pesa zenu muweze kujitosheleza wenyewe, ebo!!

Kupenda kuhongwa hongwa kunawafanya muonekane watu duni msiojiweza katika lolote lile.

Kwa nini ufurahie pesa ya mtu mwingine? Mimi naona hiyo ni kinyume nyume.

Pesa ambayo umeitengeneza mwenyewe raha yake haina kifani. Kwanza utakuwa uko huru nayo. Hakuna cha kujisikia 'guilty' kwa namna yoyote ile.

Unaitumia upendavyo bila hofu. Unakuwa hauko beholden kwa yeyote yule.

Sasa hizo raha zote nyie hamzioni? Hivi mna akili kweli nyie?
 
mwanaume yoyote huwaza kuwa akipata hela basi atamfnyia kitu flani mwanamke flani ampendae kama yupo...nafurahi kujua kuwa bado kuna wanawake wenye imani hii ya kupewa bila kuomba...hata mwanaume hufurahia kutoa bila kuombwa...
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo
 
hamna kitu kama hicho....hapa hela humfanya mwanamke ategemme kwa mwanaume sana hivyo kufanya kila njia asiachwe kwa kuogopa kukosa huduma hivyo hapo hakuna upendo ila kuna njaa kali
ni moja ya vitu vinavyofanya pendo likue
 
hamna kitu kama hicho....hapa hela humfanya mwanamke ategemme kwa mwanaume sana hivyo kufanya kila njia asiachwe kwa kuogopa kukosa huduma hivyo hapo hakuna upendo ila kuna njaa kali

njaa itoke wapi wakati wote tunasaka mahela? Nyie tuhudumieni banaa alafu nyie si ndio mnataka true love? Kama you have money you'll have true love, the moment your money is gone, your true love is gone too......!!!! Yaaani majangaaaa kwa wanaume
 
mwanaume yoyote huwaza kuwa akipata hela basi atamfnyia kitu flani mwanamke flani ampendae kama yupo...nafurahi kujua kuwa bado kuna wanawake wenye imani hii ya kupewa bila kuomba...hata mwanaume hufurahia kutoa bila kuombwa...
Furahisha mwanamke wako my dear, hutajuta
 
mwanaume yoyote huwaza kuwa akipata hela basi atamfnyia kitu flani mwanamke flani ampendae kama yupo...nafurahi kujua kuwa bado kuna wanawake wenye imani hii ya kupewa bila kuomba...hata mwanaume hufurahia kutoa bila kuombwa...

Like I do
 
Back
Top Bottom