...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

hivi kama mwanaume hakupi hela,hakupi zawadi atakuwa anakupenda kweli?..mimi siamini kama kuna upendo bila utoaji! ukiona mtu akuthamini wadada wenzangu jua kuna kitu..mimi siamini wala sipendi kumchuna mtu ila kama mtu hana roho ya ukarimu sitoweza kumfurahia..maisha ni haya haya bwana..birthday uuchune hakuna zawadi wala nini...pasaka upo uuchune hata nguo nyeusi ya ijumaa kuu hakuna! xmas uuchune hata nguo mpya hakuna! hata vijeela vya window shoping hunipi ! jamani jamani .. sasa mimi hapo unanivalue vipi?hata neno la mungu linasema bora kutoa kuliko kupokea!

Maneno yako simabaya ila nilitaka kujua tu kua zako wewe hua zinatumika wapi!wanaume walikua watoaji sana ila aina ya maneno yenu mnayotumia yamefanya watu wapunguze mfano neno kama (kumchuna)kama ww ulivyotumia hapo mwanaume akiskia ili neno hamu yote humuisha!
 
enyi waume wapendeni wake zenu! hivi kweli unaona shida gani kumpa mpenzi wako vibonus vya hapa na pale?

Kwa malipo ya K?

K kitu gani bana, hata mbuzi wanazo tena wanazinika juani.

Hongo nzuri kwa mwanamke ni kumpiga mashine kisawasawa mpaka usingizi umchukue kabla hajaenda kuosha K yake.

Nazungumzia uzoefu.
 
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo

Mkwe we ndo mwanamke wa ukweli siyo vidubwashika vinafikiria hela tu as if wanaume wana viwanda vya noti. Tukisusia K zao tukahamishia mapenzi kwenye revola vikojoleo vya
si vitaziba?
 
duh ni kweli wengi hupenda kupokea kitu kutoka kwa mwanaume japo kwa hali ya sasa kuna wengine hulazimisha kupata kikubwa pasi kuangalia uwezo wa mwenza .. maana kuna kutoa kulingana na ulichonacho
 
enyi waume wapendeni wake zenu! hivi kweli unaona shida gani kumpa mpenzi wako vibonus vya hapa na pale?

^^
Tumeambiwa tuwapende..hatukuambiwa tuwape pesa!
Usibadili maandiko wala kuwafanya walioandika kudhani kuwa pesa hawakuzijua..zilikuwepo.
Pesa si upendo..
Nikukupa pesa haina maana nimekupenda.. Kupenda ni kukupa moyo usio na mifupa uutawale.
Btw
Kwa kuwa kwako upendo una maana ya pesa,, si kwa wote
^^
 
Kwa malipo ya K?

K kitu gani bana, hata mbuzi wanazo tena wanazinika juani.

Hongo nzuri kwa mwanamke ni kumpiga mashine kisawasawa mpaka usingizi umchukue kabla hajaenda kuosha K yake.

Nazungumzia uzoefu.

Mkuu umeua,ila wanawake wa siku hizi hawana time kugegedwa,wewe gegeda usiku kucha,ila opa,altezza,galaxy na shopping ndio target yao.
 
Tutawapa tu, ni jukumu letu kufanya hivyo na wajibu wetu kuwajali na kuwapenda.
Ila dada zangu kweli baadhi yenu mmezidisha. Sasa mmefanya mtaji, mnapiga mizinga iliyopitiliza, hata hamuangalii vipato vya wapenzi wenu.
 
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo

Pacha wangu Fixed Point hujambo? Nime copy na ku paste ulichosema hapo hapo uliposemea!
 
Last edited by a moderator:
Juzi tu hapa mlikuwa 'mmefura' kwenye thread ile iliyosema 'wanawake wote wanauza'...mwanaume kuchunwa si tatizo, but why unichune after 'sex'!?

Mkuu wadada wengi wa JF ni pasua vichwa. ile thread walimshambulia sana jamaa. Leo wanatangaza mauzo ya K zao hadharani. dah
 
Hapo umenenaa
hivi kama mwanaume hakupi hela,hakupi zawadi atakuwa anakupenda kweli?..mimi siamini kama kuna upendo bila utoaji! ukiona mtu akuthamini wadada wenzangu jua kuna kitu..mimi siamini wala sipendi kumchuna mtu ila kama mtu hana roho ya ukarimu sitoweza kumfurahia..maisha ni haya haya bwana..birthday uuchune hakuna zawadi wala nini...pasaka upo uuchune hata nguo nyeusi ya ijumaa kuu hakuna! xmas uuchune hata nguo mpya hakuna! hata vijeela vya window shoping hunipi ! jamani jamani .. sasa mimi hapo unanivalue vipi?hata neno la mungu linasema bora kutoa kuliko kupokea!
 
Shida ya wanaume huwa hawataki kuappreciate waziwazi. Mbona paw mie namhonga sana kuliko hata babangu Mtambuzi?
 
Last edited by a moderator:
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo

Uko sawa kabisaaaa! Bahati mbaya nipo kwenye opera mini ningekupa bonge la like!
 
^^
Tumefika mahali ambapo dunia inahitaji kuandaa pesa zenye maneno
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA MWANAMKE
^^

Nakukubali sana mkuu,haya mambo mara nyingi majibu yako huwa unayatoa baada ya kuyaangalia kwa Jicho la tatu
 
Nakumbuka jamaa mmoja alikuwa anamhudumia bi dada kwa kila kitu likiwamo tabasamu la bi dada...yes, si alilitengeneza kwa makeups za jamaa?
Bas watoto waliozaliwa kwenye utawala wa Mzee Mwinyi walivyo macho juu,bint kapata jamaa mwingine asiyejua bi dada receiption imependeza kwa hisani ya watu wa marekani...weeeh kaka mhudumiaji katonywa sukari yake imeshaingia shubiri! Unajua alichofanya????????

Kamaa kamalizaa shughuli zake 'za garage' katulia chimbo na wana,ghafla bi dada huyoooo kasikwa kiuno na huyo boyfriend shirikishi wakioneshana wanaendana sanaaaaaaaaaa....Mwenye mali kaibuka,bila kuhoji kamvua binti hereni,miwani,mkufu saa,viatu na kisha kuchukua maji ya uhai' na kumpukutisha makeup alokuwa kaweka usoni! Chezea kuhudumia wewe!
 
Mkuu wadada wengi wa JF ni pasua vichwa. ile thread walimshambulia sana jamaa. Leo wanatangaza mauzo ya K zao hadharani. dah

labda wanataka pesa kwa ajili ya ukarabat wa K zao,maana K ni kama gari zinahitaj OIL,meintenensi na mambo mengine,
NIFIKIRIAVYO MIMI
 
Back
Top Bottom