...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

tatizo imeshakuwa ni mazoea na ngumu kubadilisha , ni suala ambalo kimsingi linatakiwa litengewe muda wake ila kwa vile wanalifanya kama silaha ndo maana linatumia baada ya kumaliza.

Tulikemee kwa nguvu zote!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BPM
Swala sio kuhonga, swala ni mbunye au chochote utakachonipa in return kinaendana na thamani ya hela au kitu nilichokupa?
 
hivi kama mwanaume hakupi hela,hakupi zawadi atakuwa anakupenda kweli?..mimi siamini kama kuna upendo bila utoaji! ukiona mtu akuthamini wadada wenzangu jua kuna kitu..mimi siamini wala sipendi kumchuna mtu ila kama mtu hana roho ya ukarimu sitoweza kumfurahia..maisha ni haya haya bwana..birthday uuchune hakuna zawadi wala nini...pasaka upo uuchune hata nguo nyeusi ya ijumaa kuu hakuna! xmas uuchune hata nguo mpya hakuna! hata vijeela vya window shoping hunipi ! jamani jamani .. sasa mimi hapo unanivalue vipi?hata neno la mungu linasema bora kutoa kuliko kupokea!

ngoja ni mimi nimhonge kijizawadi kidogo hapa wifi yako cuz nimemuomba anisindikize somewhere though ni mjamzito kwa sasa,nafikiria walau nimpitishe dukani nimnunulie ata madera mawili matatu pamoja na vitu vingine atakavyojisikia kununua,so mimi sio bahili ila namuhonga mke wangu tu.
 
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo
.......Kweli hata mimi napenda kuhonga kwa kushtukiza....
 

jamani kuna rah yake si uongo
ila kutokuomba nayo inaleta heshima
akupe mwenyewe,lkn wanaume wa siku hizi
usipoomba hakupi aisee,utabaki kukodoa mimacho tu!!
 
Inaonekana thread imekupita kushoto hebu isome upya!

haijanipita kabisaa..my answer haikutokana na post bali comment niliyotoa na ukajibu
but;
wewe umesema a woman anakua na raha pale anapohongwa right?thats according to the women umeongea nao.
na umesema anapata hiyo raha hata kama anajitosheleza.
maybe hatujaelewana kwenye kujitosheleza,to me ni kwamba she is independent in every way.
lakini,kwenye maisha ya mwanadamu you can have everything but not everything at all times ndo maana nikatoa mfano mdogo tu wa kuwa huna credits kwa simu.it feels good to have someone that in bad times anaweza kuwepo,hii ni kwa mwanaume na mwanamke.

2.Nimejaribu pia kusema kuwa the base of your relationship determines most things,kama objective zenu zinaendana basi hata kwenye hili swala its easy kuelewa
kama the guy,(aliyetoa pesa)is ONLY into the relationship because of the wrong reasons,na mwanamke nae yupo sababu ya pesa then hapo sio kuhongwa,thats a compromise.hata kama mwanamke awe na pesa aje.
Lakini kama they really had the same way of thinking,baada ya hiyo starehe the woman asingeomba pesa..

am not very good kwa kujieleza but my point is,a woman loves to be cared for(sana) anapenda ajue that there is a man by her side that will always be there no matter what(naondoa wale ambao wako kibiashara though na wao pia at the end mentality ni hiyo)
sasa jinsi ambavyo mwnaume ataonyesha anamjali that depends na mwanamke mwenyewe na swala la kupewa pesa ndio hapo linaingia
kuna wanawake ambao wanapenda zawadi(sio pesa)au outings,picnics,vacations etc lakini at the end of the day ni basi tu aone anapendwa(by actions) na ukiangalia,pesa inatumika right?is that kuhongwa pia?
hata ukisema you wont show that,wale introverts kuna jinsi tu a man anweza fanya ukajua anakupenda pia.
then kama hiyo ni kuhongwa then wanaume pia wanahongwa sana,the lovey dovey things a woman does cost energy and sometimes money too.
Tutofautishe tu business and NORMAL relationships(objectives sawa)..
 
...

Wengine mnakera sana mnaomba kila dakika!! Kila siku ooh mama anaumwa ooh nadaiwa nilikopa...ohh kunanguo zilipitishwa kazini nikachukuwa...Mnakera sana!!!!
 

jamani kuna rah yake si uongo
ila kutokuomba nayo inaleta heshima
akupe mwenyewe,lkn wanaume wa siku hizi
usipoomba hakupi aisee,utabaki kukodoa mimacho tu!!

tatizo wengine hata wakipewa wanalalamika kwa kuona kidogo wanashindwa kukithamini hata hicho kidogo.. kibaya zaidi wanaomba baada ya tendo
 
tatizo wengine hata wakipewa wanalalamika kwa kuona kidogo wanashindwa kukithamini hata hicho kidogo.. kibaya zaidi wanaomba baada ya tendo

true..
Hichi nachojaribu kusema.
yani mmoja nawaza south mwingine north.hilo ndo tatizo.
 
TUHONGENI JAMANI!
enh
after all ni HAKI YETU YA KIMSING TENA KWA MUJIBU WA RASIMU HII HII!
 
Mwanamke unatangaza tangaza njaa ya nini?

Subiri upewe tu na sio kutangaza shida kwa watu...

Mpenzi wangu mie kipindi tunaanza uhusiano tupo shule(9yrs back) nilikuwa nachukua hela nyumbani au nampiga sound maza muda mwingine nilikuwa napita na viela vyake vilivyokaa kihasara(anisamehe Mama yangu kipenzi)nipate hela ya kumnunulia pedi na vitu vingine vidogo vidogo,na ametoka familia ya kimaskini mpaka rafiki zangu walikuwa wananitania kumhusu,japo alikuwa anajua nilikuwa na uwezo wa kumpa chochote ila hakuwahi kuniomba chochote hata siku moja na nilikuwa nampa tu nikiwa nacho,mpaka leo kamaliza chuo na anapesa zake safi sahivi ni yeye ndo ananipa hela tena hata kama sina shida nazo na zawadi kibao...

Mama yangu mwenyewe kila mara anapokea mazawadi kibaoo kutoka kwake coz alikuwa anajua hela ilitoka wapi

Hana shobo na hela ya mtu...
 
true..
Hichi nachojaribu kusema.
yani mmoja nawaza south mwingine north.hilo ndo tatizo.

inabidi wakubaliane na uhalisia kwani hata hicho kidogo kwa mtoaji ni kikubwa kumbuka nae kajinyima , maana wa mbili havai mmoja..
 
ngoja ni mimi nimhonge kijizawadi kidogo hapa wifi yako cuz nimemuomba anisindikize somewhere though ni mjamzito kwa sasa,nafikiria walau nimpitishe dukani nimnunulie ata madera mawili matatu pamoja na vitu vingine atakavyojisikia kununua,so mimi sio bahili ila namuhonga mke wangu tu.
nimekupendaje? vile una mimba tayari ningekubebea moja
 
Hebu pigeni kazi mtengeneze pesa zenu muweze kujitosheleza wenyewe, ebo!!

Kupenda kuhongwa hongwa kunawafanya muonekane watu duni msiojiweza katika lolote lile.

Kwa nini ufurahie pesa ya mtu mwingine? Mimi naona hiyo ni kinyume nyume.

Pesa ambayo umeitengeneza mwenyewe raha yake haina kifani. Kwanza utakuwa uko huru nayo. Hakuna cha kujisikia 'guilty' kwa namna yoyote ile.

Unaitumia upendavyo bila hofu. Unakuwa hauko beholden kwa yeyote yule.

Sasa hizo raha zote nyie hamzioni? Hivi mna akili kweli nyie?
 
Mnalalamika nn wanawake wanapaswa kutunzwa hata kama anauwezo zaidi acha anunue vikubwa kwa uwezo wake lkn wewe nunua japo vidogo kwa uwezo wako, (woman of dignity)

u a ryt
jana nilikuwa nasikiliza mafundisho hayahay kutoka kwa mtumishi m1 hiv,
aisee wanaume acheni kuangalia mtu wakp ana uwezo gani, ht km anavyo play u a part ht km kidogo cc huwa tuna thamini sn vya kununuliwa au kupewa na wapenz/waume zetu ht km kidogo namna gani.
shida yenu wengi bado hamjui haya mambo hayana uhusiano na mwanamke wako ana uwezo gani
 
Back
Top Bottom