Hivi kaka,ulishawahi kukumbwa na wakati mgumu in your life ambapo huna pesa kabisa?(kwangu i would rather go to my parents or best friend or bank for help though 100000times)huyo unaedhani anajitosheleza kuna wakati pia anaweza kuwa hana or else kuna wakati lets say,usiku and huwezi kutoka and unahitaji mwingine anaona bora amwambie mpenzi wake..
Na speaking from experience,hata wanaume wanasaidiwa sana na wanawake lakini baadhi wana vifua vya kunyamaza tu..
ila with the posts i see hapa J.F ni bora kila mtu akabaki na shida zake at times kama the base ya relationship yenu haieleweki.