Why me now?... ni swali ambalo anajiuliza Vozinha

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,381
Reaction score
40,813
Unamkumbuka Vozinha? Yule golikipa wa timu ya taifa ya Cape Verde aliejizolea umaarufu kwa uwezo wake wa kuokoa hatari langoni katika michuano ya world cup ilyoisha hivi karibuni

Baada ya world cup alipata dili la kwenda kucheza timu kubwa ya Colocolo nchini Chile. Hatimaye kipaji chake kimeonekana na kumpa pesa nyingi akiwa na miaka 40.

Sasa bwana, baby mama wa Vozinha aitwae Emilia kaibuka na kudai kwamba anampenda sana mshkaji na yupo tayari warudiane na kufunga ndoa ili waweze kulea mtoto wao kwa pamoja.

Emilia ni nani? Ni mpenzi wa zamani wa Vozinha. Walikua katika mahusiano wakati huo ambao Vozinha alikua fundi umeme na dereva wa daladala. Emilia alimwambia Vozinha kwamba hawezi kuendelea kuwa katika mahusiano na goli kipa wa timu za mtaani na hana elimu.

Vozinha alikubali kukataliwa na alimuomba aendelee kubaki na mtoto, yeye aliondoka kwenda kutafuta maisha. Akiwa na miaka 26 ndipo alisaini mkataba wake wa kwanza kama mchezaji wa kulipwa. Alicheza timu kadhaa ndogo ndogo katika nchi za Ureno, Cyprus mpaka hivi karibuni baada ya kuonyesha kiwango kikubwa akapata dili la kwenda kucheza moja ya timu kubwa uko nchini Chile iitwayo Colocolo.

Baby mama kaibuka kutoka mafichoni na madai kwamba bado ana mapenzi mazito kwa Vozinha. Vozinha anajiuliza "why me now"

MY TAKE:
-mwanamke mwenye hela anataka mwanaume mwenye hela
-Mwanamke asie na hela anataka mwanaume mwenye hela.
-single mother anataka mwanaume mwenye hela
-mshangazi anataka mwanaume mwenye hela
-binti mbichi ndoto zake ni kuolewa na mwanaume mwenye hela
-ex wako atakurudia ukipata hela.

Women are waiting for you on the finish line. When you rise to the top you become a prize. Fvck them if you must but don't let them deceive you. Is not about love, it's about money, it's a business.

Don’t be a simp

IMG_20260812_195730.jpg
 
"Women are waiting for you on the finish line" hapa nimekuelewa sana mkuu...

Kuna mwanamke nimemtongoza amenikatalia halafu baada ya masaa 2 akaomba 40k...
Nimemtumia kama sadaka atajua yeye akubal au akatae
 
Unamkumbuka Vozinha? Yule golikipa wa timu ya taifa ya Cape Verde aliejizolea umaarufu kwa uwezo wake wa kuokoa hatari langoni katika michuano ya world cup ilyoisha hivi karibuni

Baada ya world cup alipata dili la kwenda kucheza timu kubwa ya Colocolo nchini Chile. Hatimaye kipaji chake kimeonekana na kumpa pesa nyingi akiwa na miaka 40.

Sasa bwana, baby mama wa Vozinha aitwae Emilia kaibuka na kudai kwamba anampenda sana mshkaji na yupo tayari warudiane na kufunga ndoa ili waweze kulea mtoto wao kwa pamoja.

Emilia ni nani? Ni mpenzi wa zamani wa Vozinha. Walikua katika mahusiano wakati huo ambao Vozinha alikua fundi umeme na dereva wa daladala. Emilia alimwambia Vozinha kwamba hawezi kuendelea kuwa katika mahusiano na goli kipa wa timu za mtaani na hana elimu.

Vozinha alikubali kukataliwa na alimuomba aendelee kubaki na mtoto, yeye aliondoka kwenda kutafuta maisha. Akiwa na miaka 26 ndipo alisaini mkataba wake wa kwanza kama mchezaji wa kulipwa. Alicheza timu kadhaa ndogo ndogo katika nchi za Ureno, Cyprus mpaka hivi karibuni baada ya kuonyesha kiwango kikubwa akapata dili la kwenda kucheza moja ya timu kubwa uko nchini Chile iitwayo Colocolo.

Baby mama kaibuka kutoka mafichoni na madai kwamba bado ana mapenzi mazito kwa Vozinha. Vozinha anajiuliza "why me now"

MY TAKE:
-mwanamke mwenye hela anataka mwanaume mwenye hela
-Mwanamke asie na hela anataka mwanaume mwenye hela.
-single mother anataka mwanaume mwenye hela
-mshangazi anataka mwanaume mwenye hela
-binti mbichi ndoto zake ni kuolewa na mwanaume mwenye hela
-ex wako atakurudia ukipata hela.

Women are waiting for you on the finish line. When you rise to the top you become a prize. Fvck them if you must but don't let them deceive you. Is not about love, it's about money, it's a business.

Don’t be a simp

View attachment 3649332
Nina wasiwasi wanawake waliwahi kukupiga matukio sehemu, post zako 😂
 
Women are waiting for you on the finish line. When you rise to the top you become a prize. Fvck them if you must but don't let them deceive you. Is not about love, it's about money, it's a business.
hii chorus ya mwisho ulivyoipiga imeniingia kwa hisia sana imefika hadi kwenye damu na mifupa yangu.

don't be a simp 🤝🤝
 
Back
Top Bottom