^^
Tumefika mahali ambapo dunia inahitaji kuandaa pesa zenye maneno
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA MWANAMKE
^^
Ha ha ha ha haaaaaaaaa UMEUAAAA...... lakini kaka yangu si lazima iwe fedha, hata zawadi ndogondogo, badala ya kutoa hela nyingi zitumie kumnunulia zawadi, kama anaumwa kuliko kutoa fedha mpeleke hospital au mnunulie Dawa. au mpr card ya bima! Hatumaanishi fedha bali ni mwanamme mkarimu/mtoaji anayejali.
Sasa tunapokuambia fedha humu MMU manake zitafute kwa bidii ili uweze kuzitumia katika kumtunza na kumjali mkeo.