...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

huku huku duniani....
na nilishajiambia sitakuja kuomba chochote, kama hanipi kimpango wake.
Ila kashanijua huwa siombi, kwa hiyo mambo yangu ni mteremko tu

Hivi King'ast ni kwanini umei-like hii post?
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati yupo mbali sana na hela ya mpenziwe....Ila bahati mbaya mliyo nayo wajukuu zangu hawa wa awamu yenu ni WAUZAJI japo hilo neno linawakera ila "tutalisema tu, maana tumechoka......" Hamna kivutio cha mapenzi penye pesa na hamna kivutio cha pesa kwenye mapenzi ila kuna kivutio cha mapenzi kwenye tamaa na kivutio cha pesa kwenye tamaa.....kimahesabu mapenzi ya pesa ni tamaa.
 
Juzi tu hapa mlikuwa 'mmefura' kwenye thread ile iliyosema 'wanawake wote wanauza'...mwanaume kuchunwa si tatizo, but why unichune after 'sex'!?

Mkuu ngoja nikusaidie kushangaa!!!!!!!!!
 
Mkwe we ndo mwanamke wa ukweli siyo vidubwashika vinafikiria hela tu as if wanaume wana viwanda vya noti. Tukisusia K zao tukahamishia mapenzi kwenye revola vikojoleo vya
si vitaziba?

CC: Smile
 
Last edited by a moderator:
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo
wengine hugeuza mtaji. halafu wanataka zaidi ya 'kakitu kadogo'. anataka S4 wakati hata mie sina, au suprise za kempinski which we cant afford. 🙁
 
duh ni kweli wengi hupenda kupokea kitu kutoka kwa mwanaume japo kwa hali ya sasa kuna wengine hulazimisha kupata kikubwa pasi kuangalia uwezo wa mwenza .. maana kuna kutoa kulingana na ulichonacho

Mkuu kutoa tu kuna utata kwenye baadhi ya hali!
 
Wanawake siku hizi ni wajasiliamali wa k zao,wanaendeshwa na law of demand and supply.
Dawa ni fiksi,piga mambo lala mbele.

nenda kamuulize babu yako hii ni ipo toka enzi hizo,haijaanza leo
 
Mkuu kutoa tu kuna utata kwenye baadhi ya hali!

ni kweli mkuu lakini siku zote hali ya mwenzako inajulikana , na pia ni vyema mazingira ya utoaji yakawa tofauti . mfano ni heri wangekuwa katika mazingira ya kawaida ndo mtu aombe kulikoni amalizapo tendo ndo aombe pale inaweza kuonyesha kama umelipia tendo ..
 
^^
Tumeambiwa tuwapende..hatukuambiwa tuwape pesa!
Usibadili maandiko wala kuwafanya walioandika kudhani kuwa pesa hawakuzijua..zilikuwepo.
Pesa si upendo..
Hili sina cha kupinga kabisa
Nikukupa pesa haina maana nimekupenda.. Kupenda ni kukupa moyo usio na mifupa uutawale.
Btw
Kwa kuwa kwako upendo una maana ya pesa,, si kwa wote
^^
Hili ninatofautiana nalo
Kupenda kwa jinsi ninavyojua mimi ni kumkubali mtu kama alivyo,hili ni pana sana na halihusiki kwenye mahusiano ya mapenzi tu

Hapo nadhani mnazungumzia mapenzi,lakini kumpa mtu mamlaka ya kuutawala moyo wako ni hatari sana!
 
Mkuu umeua,ila wanawake wa siku hizi hawana time kugegedwa,wewe gegeda usiku kucha,ila opa,altezza,galaxy na shopping ndio target yao.

Sio kweli

La sivyo shamba boi wasingekuwa wanawavuruga!!!!!
 
Tutawapa tu, ni jukumu letu kufanya hivyo na wajibu wetu kuwajali na kuwapenda.
Ila dada zangu kweli baadhi yenu mmezidisha. Sasa mmefanya mtaji, mnapiga mizinga iliyopitiliza, hata hamuangalii vipato vya wapenzi wenu.

Ni jukumu letu kuwahonga?
You gotta be kidding!!!!!!
 
Mkuu wadada wengi wa JF ni pasua vichwa. ile thread walimshambulia sana jamaa. Leo wanatangaza mauzo ya K zao hadharani. dah

Hata mimi nashangaa aisee!

Hawa watu ni hatari!
 
Binafsi kakigoli kangu hunipa vijizawadi.some tym hunipa hata kakitambaa ka kujifutia jasho,si mbaya
 
Back
Top Bottom