...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

hivi kama mwanaume hakupi hela,hakupi zawadi atakuwa anakupenda kweli?..mimi siamini kama kuna upendo bila utoaji! ukiona mtu akuthamini wadada wenzangu jua kuna kitu..mimi siamini wala sipendi kumchuna mtu ila kama mtu hana roho ya ukarimu sitoweza kumfurahia..maisha ni haya haya bwana..birthday uuchune hakuna zawadi wala nini...pasaka upo uuchune hata nguo nyeusi ya ijumaa kuu hakuna! xmas uuchune hata nguo mpya hakuna! hata vijeela vya window shoping hunipi ! jamani jamani .. sasa mimi hapo unanivalue vipi?hata neno la mungu linasema bora kutoa kuliko kupokea!

Lakini pia neno la Mungu linawaagiza wanaume waishi na wanawake kwa maarifa.
 
Umejuaje kuwa sijaelewa?

Hukufanya hivyo ulianza kusema habari nyingine kabisa bibie

Ungelisema hili nisingekuambia hujaielewa mada!

Hapo ndo umenifanya niamini you were not reading kuelewa but critisize ndugu yangu..
All this while i have used those words over and over again.
ila its all good.Goodmorning.
 
kupewa zawadi ni kupendwa?

hivi kama mwanaume hakupi hela,hakupi zawadi atakuwa anakupenda kweli?..mimi siamini kama kuna upendo bila utoaji! ukiona mtu akuthamini wadada wenzangu jua kuna kitu..mimi siamini wala sipendi kumchuna mtu ila kama mtu hana roho ya ukarimu sitoweza kumfurahia..maisha ni haya haya bwana..birthday uuchune hakuna zawadi wala nini...pasaka upo uuchune hata nguo nyeusi ya ijumaa kuu hakuna! xmas uuchune hata nguo mpya hakuna! hata vijeela vya window shoping hunipi ! jamani jamani .. sasa mimi hapo unanivalue vipi?hata neno la mungu linasema bora kutoa kuliko kupokea!
 
Hizo zawadi huwa unazidai?
Eiyer ukishadai zawadi unakuwa umeshaharibu kabisa, inakuwa si zawadi tena. Huwezi kudai zawadi, infact hata kuomba zawadi haitakiwi. Zawadi inayofurahisha ni ile unayopewa bila kuomba.
 
Last edited by a moderator:

Tuseme zawadi nakupa, na in most cases hata tukienda restaurants au romantic outing za mara kadhaa obviously mwanaume analipa, u got a job, why would u need money juu zaidi?? like what do u need ambacho kinapungua, ni bora kuniomba kisanii kuliko straight, sasa we niambie for the case of gifts girls wengi hulaumu, hivi gifts ni both sides watoe au side moja? n nani alisema gift ya mwanamke ni kadi tu afu ya mwanaume ni nguo au simu etc..?
 
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo
hapo kwenye bold umenena bidada, this is what I do, sipendi kuombwa ombwa, nikijisikia natoa
 
kuna wanaume wachoyo jamani akupi kitu chochote si zawadi si hela mi naona ni ubinafsi wa hali ya juu ata ukeshe kumpa yeye zawad hashtuki. mwanamke apaswa kupewa bila hata kuomba usipo mpa wewe mpenzi wako subiri wengine wakimpa usione fii
 
Rafiki kama ni perfume, gauni la uhakika, pair ya viatu vya mchuchumio au raba mtoni 🙂🙂, blouse ya kuvutia na suruali yake au night dress wewe hutii lalam na ukishikishwa bulungutu na kuambiwa zuia hii kwa raha zako lile deal limejipa unapokea tena na ahsante juu. Hongera zako rafiki kwa kutokuwemo katika kundi la omba omba.

wewe jisemeshe tu kuwa hakunaga....
mimi sijawahi kuomba na napokea tena vikubwa sana ambavyo hata ningekuwa na tabia ya kuomba nisingewaza kuomba vikubwa hivyo. kwa hiyo wapo wanaotoa kwa moyo wao bila kuombwa
 
Last edited by a moderator:
Rafiki kama ni perfume, gauni la uhakika, pair ya viatu vya mchuchumio au raba mtoni 🙂🙂, blouse ya kuvutia na suruali yake au night dress wewe hutii lalam na ukishikishwa bulungutu na kuambiwa zuia hii kwa raha zako lile deal limejipa unapokea tena na ahsante juu. Hongera zako rafiki kwa kutokuwemo katika kundi la omba omba.
h haaaa, umeona eeeh rafiki, watu tunajilia kimya kimya, ni kazi ya kushukuru tu, kuomba hata hatujui......
halafu mtu anakuambia wanaume hawatoi bila kuomba, atatoaje sasa na kazoea kila siku unaomba!
 
Eiyer ukishadai zawadi unakuwa umeshaharibu kabisa, inakuwa si zawadi tena. Huwezi kudai zawadi, infact hata kuomba zawadi haitakiwi. Zawadi inayofurahisha ni ile unayopewa bila kuomba.

Ewaaa sasa hebu rudi kwenye mada halafu uone nilichouliza hapo!
 
Back
Top Bottom