Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,633
Reaction score
6,657
Wakuu niko na binti ambae nimemtia ujauzito na nilikuwa nina mipango ya kumuoa shida ya yule binti sio mtu anaependa sana ukaribu namimi na mara zote anakuwa mkali kwangu kifupi ni kama anipend sababu hata akija home hata kama unaumwa awez kukufanyia usafi wa ndani.
Nikawa najiuliza shida ya huyu binti ni nini maana tuseme labda kapenda pesa lakini hata hizo pesa aniombi. Nimejitahidi mara kadhaa kumfanya wife material mambo yamekuwa magumu sasa baada ya wazazi wake kujua binti yao ana ujauzito wakataka niende nikaenda nikawambia huyu mimi nataka kumuoa wakasema sawa.

Ila moyoni najiuliza maswali memgi ni vipi nitaishi na mwanamke yule ambae aoneshi kunipenda.

Bac bwana leo kuna rafiki yake akaamua kunieleza ukweli kuwa yule binti alikuwa na mwanaume wa kiislamu ila kwa sababu ya dini kuwa tofauti wazazi wake na binti wakakataa.
Binti alimbebea jamaa ujauzito mara mbili mama ake na binti kazitoa zote ila bado binti akaendelea kufosi ndoa na jamaa, wazazi wakaona bac tuwaache waendelee japo kishingo upande jamaa akaleta kishika uchumba sa sijui ikawaje mwamba akapotea tena.

Bac ndio mimi nikaanza kudate na binti mpaka nikampa ujauzito sasa ndio mshkaji akarudi tena anamuita manzi magetoni dem anashindwa kwenda sababu tayari ana ujauzito wangu japo kule kwa jamaa ndio upendo upo bac juz tena nikaitwa na mama mkwe nikaenda nikamueleza changamoto za mwanae kuwa kuna kila dalili huyu binti akupenda nimuoe ila anafosi kwasababu ya ujauzito wangu ambao hapo awali pia alishajaribu kuutoa ukashindikana.

Nikamwambia mama yake kuwa mimi siwez owa mtu ambae anipendi hivyo maswala ya kuleta barua tuachane nayo kwanza.

Sasa ndugu zangu wanaume wenzangu em nishaurini nifanye nini binti nampenda ila yeye anampenda mtu mwingine na mbaya zaidi anaujauzito wangu ambao hapo awali kapambana sana kuutoa ukamshinda et saiv anataka kuishi namimi wakati najua kabisa hakuwa na malengo namimi ila anafanya hivo sababu ya shinikizo la mimba. Mimba ina miez mitatu sasa tutaileaje ikiwa sisi wenyewe atuelewani na binti yupo na kiburi heavy weight. Akili yake yote ipo kwa mshkaji so mimi binafsi nimejikuta kumchukia hata huo ujauzito sitaki kujua utafika wapi sababu juzi nilipeleka pesa ya matumiz akanijibu ovyo nikaondoka. Kifupi binti hana hisia namimi hata chembe.
 
Case yako ni ndogo, ila maamuzi yanatakiwa ukubwa na busara.

Kubalianeni kulea mimba tu, na mtoto akizaliwa, ila mambo ya kuoana hapana.
Mbona suala dogo tu, tena binti kanyooka hataki kukupa mzigo usio kuhusu, hakuombi hela hovyo, wala hayo matumizi ya mimba hakusumbui, mbona umepata bahati wewe. Lol
 
Hapo ukioa umeingia kwenye kifungo Cha mateso ya kihisia.
Atakaye kuokoa ni Lucifer tu ila Kuna mwamba humu aliandika hata shetani hukaa pembeni kwenye sehemu mwanaume umepeleka moyo badala ya akili.

Ni rahisi mno kuishi na mwanamke anayekupenda halafu mwanaume ukawa waluwalu kuliko game likigeuka.
 
Hapo unatakiwa kwanza utambue hilo swala sio shida yako, maana wewe umeshaonesha kuwa uko willing kulea familia. Ila pingamizi liko kwake yeye.
. Jitahidi sana kujitoa na kumpa matumizi hata kama hautakuwa unaishi nae..

Hakikisha damu yako iliyotumboni mwake anakuwa salama salmini. Usiendekeze chuki kwa mtu ambae unajua fika kashakupa redflag mapema

Anza kutafuta mwanamke mwingine lakini usisahau mtoto wako Kamwe na kama utaona hajali hakikisha akishazaliwa na kuacha kunyonya, umamchukua mtoto na kuishi nae
 
Kumuacha unae mpenda kwenda kwa anae mpenda huo pia ni Upendo wadhati:,Nirahisi mwanaume kuishi na mwanamke asie mpenda ikiwa mwanamke ata mpenda mwanaume kuliko mwanamke kuishi na mwanaume asie mpenda,Lea mimba then mtoto achana nakuoa mke wamtu
 
Case yako ni ndogo, ila maamuzi yanatakiwa ukubwa na busara.

Kubalianeni kulea mimba tu, na mtoto akizaliwa, ila mambo ya kuoana hapana.
Mbona suala dogo tu, tena binti kanyooka hataki kukupa mzigo usio kuhusu, hakuombi hela hovyo, wala hayo matumizi ya mimba hakusumbui, mbona umepata bahati wewe. Lol
Usiseme hivo wakati juzi nimeombwa hela kama vile ugomvi tena anaomba bila adabu sasa uoni kama inaweza tumika kama fimbo kunichapia
 
Wakuu niko na binti ambae nimemtia ujauzito na nilikuwa nina mipango ya kumuoa shida ya yule binti sio mtu anaependa sana ukaribu namimi na mara zote anakuwa mkali kwangu kifupi ni kama anipend sababu hata akija home hata kama unaumwa awez kukufanyia usafi wa ndani.
Nikawa najiuliza shida ya huyu binti ni nini maana tuseme labda kapenda pesa lakini hata hizo pesa aniombi. Nimejitahidi mara kadhaa kumfanya wife material mambo yamekuwa magumu sasa baada ya wazazi wake kujua binti yao ana ujauzito wakataka niende nikaenda nikawambia huyu mimi nataka kumuoa wakasema sawa.

Ila moyoni najiuliza maswali memgi ni vipi nitaishi na mwanamke yule ambae aoneshi kunipenda.

Bac bwana leo kuna rafiki yake akaamua kunieleza ukweli kuwa yule binti alikuwa na mwanaume wa kiislamu ila kwa sababu ya dini kuwa tofauti wazazi wake na binti wakakataa.
Binti alimbebea jamaa ujauzito mara mbili mama ake na binti kazitoa zote ila bado binti akaendelea kufosi ndoa na jamaa, wazazi wakaona bac tuwaache waendelee japo kishingo upande jamaa akaleta kishika uchumba sa sijui ikawaje mwamba akapotea tena.

Bac ndio mimi nikaanza kudate na binti mpaka nikampa ujauzito sasa ndio mshkaji akarudi tena anamuita manzi magetoni dem anashindwa kwenda sababu tayari ana ujauzito wangu japo kule kwa jamaa ndio upendo upo bac juz tena nikaitwa na mama mkwe nikaenda nikamueleza changamoto za mwanae kuwa kuna kila dalili huyu binti akupenda nimuoe ila anafosi kwasababu ya ujauzito wangu ambao hapo awali pia alishajaribu kuutoa ukashindikana.

Nikamwambia mama yake kuwa mimi siwez owa mtu ambae anipendi hivyo maswala ya kuleta barua tuachane nayo kwanza.

Sasa ndugu zangu wanaume wenzangu em nishaurini nifanye nini binti nampenda ila yeye anampenda mtu mwingine na mbaya zaidi anaujauzito wangu ambao hapo awali kapambana sana kuutoa ukamshinda et saiv anataka kuishi namimi wakati najua kabisa hakuwa na malengo namimi ila anafanya hivo sababu ya shinikizo la mimba. Mimba ina miez mitatu sasa tutaileaje ikiwa sisi wenyewe atuelewani na binti yupo na kiburi heavy weight. Akili yake yote ipo kwa mshkaji so mimi binafsi nimejikuta kumchukia hata huo ujauzito sitaki kujua utafika wapi sababu juzi nilipeleka pesa ya matumiz akanijibu ovyo nikaondoka. Kifupi binti hana hisia namimi hata chembe.
una uhakika huo ujauzito ni wako?
 
Kutoa mimba ni rahisi sana sikuhizi, ongea nae atoe hiyo mimba kabla hujaanza kutoa laana kwa single mothers wote
 
Hapo ukioa umeingia kwenye kifungo Cha mateso ya kihisia.
Atakaye kuokoa ni Lucifer tu ila Kuna mwamba humu aliandika hata shetani hukaa pembeni kwenye sehemu mwanaume umepeleka moyo badala ya akili.

Ni rahisi mno kuishi na mwanamke anayekupenda halafu mwanaume ukawa waluwalu kuliko game likigeuka.
Mwanangu sio poa yaani hapo shida ni ujauzito huo ndio unaniwazisha
 
Hapo unatakiwa kwanza utambue hilo swala sio shida yako, maana wewe umeshaonesha kuwa uko willing kulea familia. Ila pingamizi liko kwake yeye.
. Jitahidi sana kujitoa na kumpa matumizi hata kama hautakuwa unaishi nae..

Hakikisha damu yako iliyotumboni mwake anakuwa salama salmini. Usiendekeze chuki kwa mtu ambae unajua fika kashakupa redflag mapema

Anza kutafuta mwanamke mwingine lakini usisahau mtoto wako Kamwe na kama utaona hajali hakikisha akishazaliwa na kuacha kunyonya, umamchukua mtoto na kuishi nae
Shukran kaka
 
Back
Top Bottom