...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

Mara ya mwisho kuhonga ilikua mwezi wa sita tarehe 27 tena technically sikumhonga. Nilimpeleka pale Mamboz corner nikampiga chips sekela za wahindi, tukashushia na ka juice flani ikawa burudani!

Kwani kuhonga "technically" huwa kukoje?
 
hivi kama mwanaume hakupi hela,hakupi zawadi atakuwa anakupenda kweli?..mimi siamini kama kuna upendo bila utoaji! ukiona mtu akuthamini wadada wenzangu jua kuna kitu..mimi siamini wala sipendi kumchuna mtu ila kama mtu hana roho ya ukarimu sitoweza kumfurahia..maisha ni haya haya bwana..birthday uuchune hakuna zawadi wala nini...pasaka upo uuchune hata nguo nyeusi ya ijumaa kuu hakuna! xmas uuchune hata nguo mpya hakuna! hata vijeela vya window shoping hunipi ! jamani jamani .. sasa mimi hapo unanivalue vipi?hata neno la mungu linasema bora kutoa kuliko kupokea!

Upendo ni kutoa hela na zwadi?
 
^^
Tumefika mahali ambapo dunia inahitaji kuandaa pesa zenye maneno
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA MWANAMKE
^^
Hili nalo neno!
Maana wamezidi hawa watu

Sijui huwa wanauza tu?
 
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo

Hiyo raha ya kuhongwa inakuwaje?
Inahusianaje na hela/kitu?
 
Maneno yako simabaya ila nilitaka kujua tu kua zako wewe hua zinatumika wapi!wanaume walikua watoaji sana ila aina ya maneno yenu mnayotumia yamefanya watu wapunguze mfano neno kama (kumchuna)kama ww ulivyotumia hapo mwanaume akiskia ili neno hamu yote humuisha!
wapi nimesema mi namchuna mtu
 
Huyo dada ameshindwa kutofautisha kati ya kuhonga na zawadi, kamulize tena
 
Jana nikiwa maeneo ya kazi nilijikuta nikianzisha mazungumzo na dada mmoja hivi ambae tupo nae hapa

Mazungumzo yalianzia kwenye vitu vingi lakini tulifikia kwenye kumuuliza kuhusiana na mtazamo wake kuhusu wana wake kuwaomba hela wapenzi wao,nilimuuliza kwa kuwa hadi leo sijajua hasa ni kitu gani mwanamke ambae ana kazi nzuri pengine ina kipato kikubwa kushinda mpenzi wake amuombe hela

Najua hapa mnaweza kuhoji vipi kama atakuwa na shida,lakini kuna mazingira ambayo mwanamke anaomba hela hata akiwa hana shida yoyote[hili alinithibitishia huyo dada na pia wako wengi nimewahi kuwasikia wakisema hili]

Hapo ndipo nilipojiuliza hasa sababu ya kuomba hela

Alichonijibu sio tu kilinistua bali nilishangaa sana na kujiuliza kama hilo ni jibu sahihi.Kiukweli hadi sasa sijaamua kama nilichukulie kama jibu sahihi au la,ndipo imebidi nije kuwauliza na ninyi huenda labda mkawa na ufahamu kuhusiana na hili

Huyu dada alinijibu kuwa hilo la kuomba heka bila kuwa na uhitaji nayo ni kweli lipo lakini kwa mujibu wake yeye ni kwamba huwa anajisikia raha kupewa hela na mwanaume wake kwakuwa anajisikia kupendwa na kujaliwa kukubwa

Nilimuuliza kuhusiana na uhusiano kati ya kupewa hela na kujali akanijibu kuwa inawezekana kukawa hakuna uhusiano lakini wao[wanawake] ndivyo walivyo tu

Alinipa mfano wa rafiki yake mmoja ambae aliitwa na mpenzi wake nyumbani kwake[kwa huyo mpenzi wake] ili akalale huko na aliambiwa aseme kile ambacho angependa kuandaliwa.Binti alitaja ambavyo alivyotaka na mwisho wa siku walikwenda kulala na binti kutoa "mashavu" kwa moyo wote,ilipofika asubuhi binti alikwenda kuoga na baadae alivaa kwaajili ya kurudi kwake,jaamaa yake alimpa nauli tu ya kufikia nyumbani ili akajiandae aende kazini

Kazi aliyokuwa anaifanya huyu binti ilikuwa ina kipato kikubwa kuliko huyu jamaa yake,binti baada ya kupewa nauli tu aling'aka na kudai hela zaidi lakini jamaa alimwambia anahitaji hela ya nini lakini alijibiwa kuwa anataka tu,mwisho wa siku jamaa aligoma kumpa hela zaidi na binti aliondoka amefura sana kwa hasira

Sasa naombeni mniambie,hivi hawa wanawake [wa kwenye situation kama hii] huwa wanataka wapewe hela kwa sababu gani? au ni kwa sababu kama aliyonipa huyu dada hapa kijiweni?[kazini]
huwa wanakosea sana kuomba baada ya service siku nyingine na kwanjia nyingine?
MI kwa upande wangu ukiniomba baada ya tendo unanikumbusha za ku-purchase so siwezi kukupa.
 
Wanawake siku hizi ni wajasiliamali wa k zao,wanaendeshwa na law of demand and supply.
Dawa ni fiksi,piga mambo lala mbele.

Aki-demand kitu ndio akupe kitu?
 
ni kweli kwanini aombwe? sio vizuri kumuomba mtu ..raha ni pale mtu anapotoa kwa moyo wake...yaani ule ukarimu wake unatoka moyoni mwake mwenyewe bila shurti yoyote!

Mbona wewe ili utoe hadi uombwe?
 
Mnalalamika nn wanawake wanapaswa kutunzwa hata kama anauwezo zaidi acha anunue vikubwa kwa uwezo wake lkn wewe nunua japo vidogo kwa uwezo wako, (woman of dignity)

Si anaweza kujitunza mwenyewe bana?
Ya nini atake na vingine?
 
Maneno yako simabaya ila nilitaka kujua tu kua zako wewe hua zinatumika wapi!wanaume walikua watoaji sana ila aina ya maneno yenu mnayotumia yamefanya watu wapunguze mfano neno kama (kumchuna)kama ww ulivyotumia hapo mwanaume akiskia ili neno hamu yote humuisha!

Hata wangekuwa wanaita hivyo jina zuri isingeweza kuleta maana yoyote njema

Kama wanauza si waseme tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom