...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

Jaman hakuna kitu kizur kama kuthaminiwa hata kwa vitu vidogo lakin wapo wanaume wabishi hakupi hata sh.10 ukiomba unapigwa maswali meeengi yasokuwa na msingi ili mradi tu asikupe. Jaman wapendeni wenza wenu kwa hiko kidogo ulichonacho sio lazima kiwe kikubwa
 
sijashindwa,kuna mtu hapo juu staring with B nadhani amesema mwanamke anaomba pesa baada ya tendo,thats business not a relationship.

Usiangalie kile mtu alichochangia,changia mada husika!
 
ish!sasa si kwenye mada pia mdada kaomba pesa baada ya tendo?
aise!naona its all about critisizing and not educating,lets say you are totally correct.
 
Unaweza kufikiria chochote lakini haimaanishi kuwa kiko sahihi

Tatizo lako uko off base na nimekuambia hilo,lakini hutaki kunielewa

Soma tena mada!
 
Jaman hakuna kitu kizur kama kuthaminiwa hata kwa vitu vidogo lakin wapo wanaume wabishi hakupi hata sh.10 ukiomba unapigwa maswali meeengi yasokuwa na msingi ili mradi tu asikupe. Jaman wapendeni wenza wenu kwa hiko kidogo ulichonacho sio lazima kiwe kikubwa
Kupewa hela ni kuthaminiwa bibie?
 
Unaweza kufikiria chochote lakini haimaanishi kuwa kiko sahihi

Tatizo lako uko off base na nimekuambia hilo,lakini hutaki kunielewa

Soma tena mada!

hicho ndo unataka kuamini,i tried quoting your own words ila pia hujaelewa.
All i tried to do was show you hiyo raha ya kuhongwa unayoongelea,na kwanini and how some women think.
na from the comments,my point is proven right;women love men who can show them wanapendwa,tofauti ni jinsi,angalia view ya fixed point na wengine hilo tu.
calling it quits.
 
Umejuaje kuwa sijaelewa?
All i tried to do was show you hiyo raha ya kuhongwa unayoongelea,na kwanini and how some women think.
Hukufanya hivyo ulianza kusema habari nyingine kabisa bibie
na from the comments,my point is proven right;women love men who can show them wanapendwa,tofauti ni jinsi,angalia view ya fixed point na wengine hilo tu.
calling it quits.
Ungelisema hili nisingekuambia hujaielewa mada!
 
hivi kama mwanaume hakupi hela,hakupi zawadi atakuwa anakupenda kweli?..mimi siamini kama kuna upendo bila utoaji! ukiona mtu akuthamini wadada wenzangu jua kuna kitu..mimi siamini wala sipendi kumchuna mtu ila kama mtu hana roho ya ukarimu sitoweza kumfurahia..maisha ni haya haya bwana..birthday uuchune hakuna zawadi wala nini...pasaka upo uuchune hata nguo nyeusi ya ijumaa kuu hakuna! xmas uuchune hata nguo mpya hakuna! hata vijeela vya window shoping hunipi ! jamani jamani .. sasa mimi hapo unanivalue vipi?hata neno la mungu linasema bora kutoa kuliko kupokea!

Mbona msisitizo ni kwa mwanaume tu, mwanamke je yeye asitoe? Usiniambie anatoa penzi coz pale hata yeye anapokea pia!
 
seriously sijui kwann siombi....... lkn mm huyu wangu amenichukulia kama sehemu ya operating expenses zake to be incured monthly! me napewa tuu kila mwezi lol nina fungu langu....... mind u nina ajira yangu pia so nadhan inategemea mtu na mtu.
nisipopata ujue kuna project inaendelea over.
 
Kumpata wa kutoa kwa moyo wake ndo issue. hakunaga
wewe jisemeshe tu kuwa hakunaga....
mimi sijawahi kuomba na napokea tena vikubwa sana ambavyo hata ningekuwa na tabia ya kuomba nisingewaza kuomba vikubwa hivyo. kwa hiyo wapo wanaotoa kwa moyo wao bila kuombwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haaaaaa!!!!! nipe nafasi hutajutia pesa zako.

C'mon!, U hv no need to request for chance, the chance is open for girls like you, ishu ni matumizi mkwanja si kikwazo tinna cute. am waitin ur pm.
 
keep on waiting Torres.
 
Last edited by a moderator:
^^
Tumefika mahali ambapo dunia inahitaji kuandaa pesa zenye maneno
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA MWANAMKE
^^

nimeipenda hii,hawa viumbe hata angekuwa bilioner lakini watakunyonya tu hadi hako kadogo ulichonacho kiishe...some times hela kakupa yeye mda mfupi anakuomba pesa,ili mradi m exchange mikono tu.
 
Aha ha ha ha ha!! that is why I LOVE MY WIFE, she don't hv that behaviour. Mwanamke akiwa omba omba wala hapendezi, mtu unatakiwa umpe zawadi au hela kwa kupenda co anageuka Matonya.
 
seriously sijui kwann siombi....... lkn mm huyu wangu amenichukulia kama sehemu ya operating expenses zake to be incured monthly! me napewa tuu kila mwezi lol nina fungu langu....... mind u nina ajira yangu pia so nadhan inategemea mtu na mtu.
nisipopata ujue kuna project inaendelea over.
umeona eeeh!
tena akijua kuwa wewe si ombaomba utapewa mpaka vinapitiliza..... na hata huulizwi mahesabu
 
haki sawa iko wapi????

nipe nikupe,

raha tupate,

baby!!

sasa kwanini man tu ndio aumie na toa toa!

what is the main function of the woman in love afair!!?
 
Back
Top Bottom