MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,924
- 8,911
- Thread starter
- #41
Hili suala nalijibu sana huko juu lakini sijui kwanini kunaeleweka inakuwa ngumu.Kujiunga na chama cha wafanyakazi ni HIYARI kwaio unaweza kujitoa.
Mi nliunganishwa TUGE nikakatwa miezi4 nikaandika barua ya kujitoa na nikatolewa.
Vyama vya wafanyakazi havina msaada kwa wafanyakazi tangu enzi za JPM ila huko nyuma enzi za JK vilikuwa msaada sana
Jamani, hapa nazungumzia zaidi ADA ya UWAKALA.
Hii utakatwa tu uwe Mwanachama au usiwe Mwanachama.
Na hili lipo, na wewe ambaye hukatwi sasa watakuja kukukata tu labda kama Sheria ya ajira na mahusiano kazini iwe imefuta hii Ada.
Na hapa nazungumzia zaidi wale ambao siyo wanachama lakini wanakatwa haya makato.