Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote.
Chukua hatua mapema
Chukua hatua mapema
Ndugu mteja, kutokana na maboresho yaliyopangwa ya mfumo wa TISS kuanzia tarehe 06/12/25 saa 06:00 usiku hadi tarehe 08/12/25 saa 10:00 alfajiri, huduma zote za uhamisho wa fedha au malipo nchini kupitia TISS hazitapatikana. Tafadhali hakikisha unakamilisha malipo yako yote kabla ya tarehe 06/12/25.