heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,264
Ukumszan
Wabongo rahisi sana kuamini mtu. Kesho wakija kufahamu huyo naye ni kama kina kigogo tu au Fatma Karume ndio akili zitawarudiHuyo nae tapeli tu... angekuwa wa maana angefanya kama wale vijana walichomfanya rais wa Tunissia (I stand to be corrected) mpaka akaachia nchi. Same boy who hacked CIA system
tumia akili yako vizuri... iwe ya kutunga au la mo29 nilitoa hela zangu airtel ilinisaidia sana wakati watu wakihaha hao watoa huduma nao inawezekana wasiwepo si tamko moja tu... biashara inakufaTaarifa ni kama ya kutunga acheni kutisha watu kwa maisha ya sasa una wezaje kukaa bila cash ndani?
Sawatumia akili yako vizuri... iwe ya kutunga au la mo29 nilitoa hela zangu airtel ilinisaidia sana wakati watu wakihaha hao watoa huduma nao inawezekana wasiwepo si tamko moja tu... biashara inakufa
Mwenyewe niko hoves hapaHata sijaelewa.
katoeni pesaJana nilikuwa nataka niingie kwenye akaunt yangu ya lipa namba ya Voda ikagoma
Hata sijaelewa.
wanazuia bank ndogo zisifeInterbank transactions itasitishwa...kuhamisha fedha benki kwenda bank nyingine huduma itasitishwa
Chukueni taarifa hii kwa uzito mkatoe pesa zenuHii taarifa ya kwel kabisa, sisi wateja wa BTD tumetumiwa hiyo sms
Nimesoma andiko lako mzee, ngoja tu tufanye hivyoChukueni taarifa hii kwa uzito mkatoe pesa zenu
Niliwahi kusisitiza ni lazima watu mtoe pesa zenu haraka iwezekanavyo kwenye mabenki ya Biashara
Mimi ni mmoja ya watu ninaounga mkono Maandamano yoyote yatakayotangazwa nchini hadi CCM ianguke na nchi ipate katiba mpya, hakuna shaka kabisa utawala uliopo umefitinika na hauna uhalali mbele ya watu na Mungu.
Leo nitaelezea njia mojawapo ya kuchochea kuanguka kwa Serikali ya CCM, njia hii ni moja ya njia za amani kabisa za kutangaza kutokuwa na Imani na huu utawala pamoja na mifumo yake wezeshi. Moja ya mfumo unaowezesha maovu yote nchini ni mfumo wa Kifedha nchini ambao uti wa mgongo wake ni Sekta ya Mabenki.
Ukitaka kumshinda adui yako vitani unashambulia maeneo makuu ya aina mbili...
- MlimaSayuni
- ccm serikali ya ccm siasa
- Replies: 36
- Forum: Jukwaa la Siasa