NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,205
- 27,938
Unatapika vipi mkuu. Hapo ni mafleva tu! Yani vibe lake hapo unaweza kujikita unalia kama nyau𤣠Sasa hapo hutatapika kweli
Unatapika vipi mkuu. Hapo ni mafleva tu! Yani vibe lake hapo unaweza kujikita unalia kama nyau𤣠Sasa hapo hutatapika kweli
Ila kwenye pub zetu hz hazipoMbona madukani na kwenye Masuper market zipo sana Mkuu?
Zina ladha nzuri kweli, ila shida ni tu alcohol twake wameweka tuchache sana. Nadhani 15% tu. Hata ukinywa nne hamna kitu unasikia..
Acha kwenda glossary nenda Bar šššHivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
Acha pombe, jamaa kunywa juisiBar zipi hizo ambako ipo? 𤣠Maan bar zote kubwa nimeenda ila sijawahi letewa hio fusion
Wakuokoa helašMfumo gani huo unanletea sasaš???
Msaada tutani.Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
Eeeh imekaa kienyeji sanš Kwahio Konyagi ni gongo au sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah aiseeUnatapika vipi mkuu. Hapo ni mafleva tu! Yani vibe lake hapo unaweza kujikita unalia kama nyau