Rais Samia aelewe hili, Katiba haitambuwi awamu ya Sita!

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Haiwezi kuwa serikali awamu ya Sita wakati inatumia ilani ya uchaguzi iliyotumiwa na Awamu ya Tano kushinda uchaguzi na kuingia Madarakani.

Haiwezi kuwa serikali awamu ya sita kwa sababu haijapigiwa kura na wananchi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni serikali muendelezo wa awamu ya Tano, iliyoingia madarakani kwa mujibu wa Vifungu vya katiba.....
"Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya JMT.iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu."

Sasa Samia anapotaka tumtambuwe kama Rais wa awamu ya sita anatumia kifungu gani cha katiba?

Na nini faida kwa watanzania kuiita awamu ya sita badala ya awamu ya tano?
Samia anaposema tufuate Sheria, alipaswa yeye kuwa mfano hai.
Asituaminishe awamu ya sita ambayo imejaa viraka na makovu lukuki.
FB_IMG_1694290413802.jpg
JamiiForums1301822419.jpg

Awamu ya Sita itaanza ifikapo 2030 na kama tu CCM itaweza kupenya kwenye tundu la sindano ifikapo 2025.
R.I.P mashujaa wetu.
Amen .
 
Haiwezi kuwa serikali awamu ya Sita wakati inatumia ilani ya uchaguzi iliyotumiwa na Awamu ya Tano kushinda uchaguzi na kuingia Madarakani.

Haiwezi kuwa serikali awamu ya sita kwa sababu haijapigiwa kura na wananchi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni serikali muendelezo wa awamu ya Tano, iliyoingia madarakani kwa mujibu wa Vifungu vya katiba.....
"Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya JMT.iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu."

Sasa Samia anapotaka tumtambuwe kama Rais wa awamu ya sita anatumia kifungu gani cha katiba?

Na nini faida kwa watanzania kuiita awamu ya sita badala ya awamu ya tano?
Samia anaposema tufuate Sheria, alipaswa yeye kuwa mfano hai.
Asituaminishe awamu ya sita ambayo imejaa viraka na makovu lukuki.View attachment 2749606View attachment 2749607

Katiba mbovu
Chama kobovu
Rais mbovu
 
Halafu mimi kama alivyosema kuwa kile ni kijitabu tu kwamba sijui blabla gani ... maendeleo na kwamba kinaweza kisifuatwe!!!
Basi mimi sikifuati, hivyo simtambui kama rayc!!
 
Wengi tumeamua hivyo.sababu uraisi wake ulitokana na hicho anachokiita kijitabu!
 
Haiwezi kuwa serikali awamu ya Sita wakati inatumia ilani ya uchaguzi iliyotumiwa na Awamu ya Tano kushinda uchaguzi na kuingia Madarakani.

Haiwezi kuwa serikali awamu ya sita kwa sababu haijapigiwa kura na wananchi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni serikali muendelezo wa awamu ya Tano, iliyoingia madarakani kwa mujibu wa Vifungu vya katiba.....
"Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya JMT.iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu."

Sasa Samia anapotaka tumtambuwe kama Rais wa awamu ya sita anatumia kifungu gani cha katiba?

Na nini faida kwa watanzania kuiita awamu ya sita badala ya awamu ya tano?
Samia anaposema tufuate Sheria, alipaswa yeye kuwa mfano hai.
Asituaminishe awamu ya sita ambayo imejaa viraka na makovu lukuki.View attachment 2749606View attachment 2749607

Awamu ya Sita itaanza ifikapo 2030 na kama tu CCM itaweza kupenya kwenye tundu la sindano ifikapo 2025.
R.I.P mashujaa wetu.
Amen .
Halafu wanasema hatujui katiba! Hii ni dharau kwetu wananchi na wataigharamia!
 
Kwani anaiheshimu hiyo Katiba,tuanzie hapo,yeye anaiona ni kijitabu fulani tu hivi.
20230908_040257.jpg
 
Halafu mimi kama alivyosema kuwa kile ni kijitabu tu kwamba sijui blabla gani ... maendeleo na kwamba kinaweza kisifuatwe!!!
Basi mimi sikifuati, hivyo simtambui kama rayc!!
huyu mama alianza vzr sana. Lakini anakoelekea...! Katiba aiite kijitabu kweli? Hajui ndicho kimemweka kwenye kiti. Ndugai aliona makamu hayupo akataka kuchukua yeye.
 
Akheri hata ingekuwa hivyo kuliko huyu Mama!
Na ndiyo maana karma ilimuanzia Mabeyo kwa kupoteza mwanae pilot.
 
Haiwezi kuwa serikali awamu ya Sita wakati inatumia ilani ya uchaguzi iliyotumiwa na Awamu ya Tano kushinda uchaguzi na kuingia Madarakani.

Haiwezi kuwa serikali awamu ya sita kwa sababu haijapigiwa kura na wananchi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni serikali muendelezo wa awamu ya Tano, iliyoingia madarakani kwa mujibu wa Vifungu vya katiba.....
"Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya JMT.iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu."

Sasa Samia anapotaka tumtambuwe kama Rais wa awamu ya sita anatumia kifungu gani cha katiba?

Na nini faida kwa watanzania kuiita awamu ya sita badala ya awamu ya tano?
Samia anaposema tufuate Sheria, alipaswa yeye kuwa mfano hai.
Asituaminishe awamu ya sita ambayo imejaa viraka na makovu lukuki.View attachment 2749606View attachment 2749607

Awamu ya Sita itaanza ifikapo 2030 na kama tu CCM itaweza kupenya kwenye tundu la sindano ifikapo 2025.
R.I.P mashujaa wetu.
Amen .
Na ndio ilivyo na ndivyo tunavyotakiwa kuiita serikali ya awamu ya tano na si awamu ya sita hayo ni makosa na ni umbumbumbu uliopitiliza tu,Watanzania wanatakiwa kufahamu kwamba awamu ya tano imeongozwa na maraisi wawili yaani JOHN POMBE MAGUFULI na SAMIA SULUHU HASSAN.Na hiyo ndio tafsiri ya kiakili nje ya hapo tunayoendelea kuyapamba hayapo ni namna tu ya kuudhihirishia ulimwengu jinsi tusivyo na AKILI.Magufuli alikuwa ameanza awamu ya pili na akiwa ktk mwaka wa sita wa uongozi wake akawa amelazishwa na wahuni kuondoka na MUNGU kwa upendo wake akakubali.Leo mnaita awamu ya sita ya wapi na chaguzi zote za awamu mbili zilikamilika kwa JPM Hivyo tusidanganyane hapa hakuna awamu ya sita hapa ila AWAMU YA TANO KUONGOZWA NA MARAISI WAWILI FULL STOP.
 
Haiwezi kuwa serikali awamu ya Sita wakati inatumia ilani ya uchaguzi iliyotumiwa na Awamu ya Tano kushinda uchaguzi na kuingia Madarakani.

Haiwezi kuwa serikali awamu ya sita kwa sababu haijapigiwa kura na wananchi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni serikali muendelezo wa awamu ya Tano, iliyoingia madarakani kwa mujibu wa Vifungu vya katiba.....
"Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya JMT.iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu."

Sasa Samia anapotaka tumtambuwe kama Rais wa awamu ya sita anatumia kifungu gani cha katiba?

Na nini faida kwa watanzania kuiita awamu ya sita badala ya awamu ya tano?
Samia anaposema tufuate Sheria, alipaswa yeye kuwa mfano hai.
Asituaminishe awamu ya sita ambayo imejaa viraka na makovu lukuki.View attachment 2749606View attachment 2749607

Awamu ya Sita itaanza ifikapo 2030 na kama tu CCM itaweza kupenya kwenye tundu la sindano ifikapo 2025.
R.I.P mashujaa wetu.
Amen .
Kwa hiyo, wewe bwabwaja lakini kazi inaendelea

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Naonga mkono hoja, Kuipa jina la awamu ya sita ni sawa na kufurahia kuipata nafasi hiyo bila kuangalia umeipataje. Inatosha kusema tutaitambua kama awamu ya sita Kwa mantiki ya kwamba ni ya kurithi.
 
Rais anachaguliwa na kupigiwa kura, huyu ana kaimu hadi pale tutakapompata rais mwenye uhalali wa kupigiwa kura..

Analijua hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom