Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,244
- Thread starter
- #81
Well said,nami ndivyo ninavyojua ndo maana hata prince Charles alifunga ndoa baada ya Diana kuwa kafariki dunia.Hayo ni makanisa BINAFSI ya kina LUSEKELO, GWAJIMA na mengineyo lakini, KKT, CATHOLIC, ANGLICAN, MORAVIAN, hakuna talaka inayo tambulika kabisa.