Dkt. Mwigulu mgeni rasmi harambee ya maendeleo KKKT

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,084
Reaction score
862
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.

Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.

IMG-20261005-WA0023.jpg
IMG-20261005-WA0033.jpg
IMG-20261005-WA0031.jpg
IMG-20261005-WA0037.jpg
IMG-20261005-WA0025.jpg
IMG-20261005-WA0027.jpg
IMG-20261005-WA0035.jpg
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.

Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.

Jana alikuwa Anglicana, Leo KKKT.

Nasuburia atakapopata mwaliko wa Wasabato na Wakatoliki nimsikilize vizuri
 
Hahaha haitosaidia mkuu madelu😂😂
 
Back
Top Bottom