KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

Ibada inayo mpendeza Mungu ni kuishi vyema, kulisha wahitaji, kutoa sadaka, kusaidia yatima na wajane, kutembelea wagonjwa na wafungwa, haya Marehemu mzee wetu ameyafanya vyema, kuzikwa na padri askofu au mchungaji haimsaidii marehemu kuwekwa pema peponi hata siku moja., mbona wao mapadre wana lawiti watoto na wanazikana ndani ya makisa wengine ina maana wao ndio wanona ufalme wa Mungu?
HERI WENYE MOYO SAFII WATAKWENDA... dini ya kweli ni Kutoa sadaka..Kusaidia wajanee na yatima na wote wenye Uhitaji.. Mengi ametoa zaidi ya Sadaka na Kanisani Hakuacha kwendaa... Leo kanisa linaanzia wapi kumkataa???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Suala la kufunga ndoa mara mbili ni zambi kama dhambi zinginee tu ni kutubu tu maana ulitaka mzee wa watu aendelee kuishi maisha ya Upwekee na uzinzi wa kimya kimyaa.. Na biblia inaruhusu mwanaume kumuacha mkewe kwa Dhambi ua uzinzi sasa wewe unajua sababu ya Mengi na mkewe kuachana?? acheni kuwa Miungu watu
 
Udhaifu wa mapadre hauhalalishi maovu ya wengine! Wao watahukumiwa kwa makosa yao ya kulawiti , naye atahukumiwa kwa uzinifu pamoja na kutoa sadaka kwa wingi. Hakuna sheria ya kanisa inayosema ukitoa sadaka, kuwasaidia masikini etc basi you are exempted from adhabu kwa makosa yako! Victoire
Hakuna UHAKIKA kama HAKUTUBU na Mungu alisema ukitubu dhambi zako zinakuwa nyeupe kuliko theluji, haya ya kuzikwa na padre au askofu ni mbwembwe tu, wale wanaozama majini ina maana Mungu hatambui kuwa walikufa? Mana wengi hupotea hata hawajazikwa..
 
HERI WENYE MOYO SAFII WATAKWENDA... dini ya kweli ni Kutoa sadaka..Kusaidia wajanee na yatima na wote wenye Uhitaji.. Mengi ametoa zaidi ya Sadaka na Kanisani Hakuacha kwendaa... Leo kanisa linaanzia wapi kumkataa???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Suala la kufunga ndoa mara mbili ni zambi kama dhambi zinginee tu ni kutubu tu maana ulitaka mzee wa watu aendelee kuishi maisha ya Upwekee na uzinzi wa kimya kimyaa.. Na biblia inaruhusu mwanaume kumuacha mkewe kwa Dhambi ua uzinzi sasa wewe unajua sababu ya Mengi na mkewe kuachana?? acheni kuwa Miungu watu
Umesoma nilicho andika UKAELEWA au una hasira na maisha? Wapi nimesema Mengi asizikwe? Nimewauliza hao wanao ona kkuoa kwake ni dhambi nimewauliza hao walawiti mbona wanazikana hakuna anaepeleka pingamizi kwa kuwa ni viongozi? SOMA UELEWE ACHA POVU , hakuna maisha mengine mkuu ni haya haya, acha kutafuta maisha kwa hasira maana tayari una ishi..
 
Suala ni kuwa Mengi atazikwa na Kanisa?????

Hoja mnazoleta ni kuoa mke mwinginee... Mpambane na hali zenu mzee wa watu atazikwaa tena na Askofu[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Sokoine alizikwaje?
Mengi ana mchango mkubwa kitaifa na kimataifa.
Na ni mshiriki mzuri wa kabisa.

Mussa alioa wake wengi
Ibrahimu alioa wake wengi.
Isaka alioa wake wengi.
Yakobo alioa wake wengi.
Daud alioa wake wengi.
Suleimani alioa wake wengi.
Mtume Mohammed alioa wake wengi.
Nani miongoni mwetu mkubwa na mwenye imeni kubwa kuliko hao manabii walioongea mpaka na Mungu?

Kuhudhuria ibada kwa Viongozi wa kabisa ni muhimu mana Mengi amekua ni mshirika mzuri sana kwa kabisa na makanisa . Hiya ya familia yake hayatuhusu.
Bila shaka wewe ni mwislam
 
Mengi na kyailin walifunga ndoa kanisan au boman ,,?
Je Mzee Mengi alimpa mkewe talaka au waliachana kimya kimya ?

Naomba kijibiwa hayo maswali ili niweze kuchangia mada vizuri.
 
Suala ni kuwa Mengi atazikwa na Kanisa?????

Hoja mnazoleta ni kuoa mke mwinginee... Mpambane na hali zenu mzee wa watu atazikwaa tena na Askofu[emoji57][emoji57][emoji57]
Kanisa haliziki atazikwa na Askofu tena zidi ya mmoja maana aliishi injili alitenda yaliyo agizwa na Yesu, na hata asipo zikwa na hao viongozi haitamzuia kuona ufalme wa Mungu maana hayo ya ndoa ni haki yake, na yeye hakuwa mkamiliu ni dhaifu kama MWANADAMU alivyo umbwa dhaifu... huko kupinda midomo sio fani yangu sijalelewa uswahili sina hasira na mtu wala maisha yangu..
 
Mengi na kyailin walifunga ndoa kanisan au boman ,,?
Je Mzee Mengi alimpa mkewe talaka au waliachana kimya kimya ?

Naomba kijibiwa hayo maswali ili niweze kuchangia mada vizuri.
Walifunga ndoa GARDEN ya HOTEL na kanisa halitambui talaka,.
 
Walifunga ndoa GARDEN ya HOTEL na kanisa halitambui talaka,.

Basi haitakuwa sahihi kwa Kyailin kutwa mjane na Muongoza Ibada ya mazishi siku ya mazishi.

Lakini mbele ya pesa mengi hugeuka sana ,
 
Kwan alikuwa hajatengwa kundini kwa kuoa mke wa pili?
kwahyo alikuwa anashiriki meza ya bwana?
 
Watakuwa wamefanya kosa incase wakimtambua Jack. Ila wanaweza kumzika kwa kigezo kuwa kifo kimewatenganisha na mkewe wa ndoa aliyetangulia mbele ya haki.
Bado haina mshiko mana KKKT wana kauli ya kuwa nje au ndani ya kundi sasa kama alioa au alizaa nje wakati mke halali yupo ina maana yupo nje ya kundi hivyo kanisa lilimtanga!! Hastahili huduma za kanisa ikiwepo kuzikwa na kanisa
 
Amen.
 
Basi haitakuwa sahihi kwa Kyailin kutwa mjane na Muongoza Ibada ya mazishi siku ya mazishi.

Lakini mbele ya pesa mengi hugeuka sana ,
Tenda mema mkuu huyu askofu mkuu wa KKKT Malasusa mwenyewe alikuwa na tuhuma za UKZINI na mama MCHUNGAJI aliekuwa MKE wa MTU mpaka kutaka kumpora mtoto baba halali wa mtoto, lakini jamaa alisimama kidete akapata mtoto wake na ndoa akavunja kwa aibu malasusa akampeleka nje ya nchi kusoma huyo mama mzinifu mwenzake, kwa hiyo tuishi tukimpendeza Mungu zaidi hata hawa tuna lilia watuzike si wasafi kama majoho yao yalivyo masafi, wana mambo mengi ya hovyo....Tukuanguka dhambini tutubu.
 
Kama inavyofahamika katika kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania ,ndoa inayotambulika ni moja tu hadi kifo kitakapowatenganisha.

Mzee Mengi ambaye alikuwa ni muumini wa kanisa la kilutheri Tanzania na katika uhai wake inasemekana alifunga ndoa nyingine na Jack wakati huo huo Mama Mercy Mengi alikuwa bado yupo hai.

Je Mengi atazikwa na kanisa la kilutheri ,kikristo? Je kanisa litamtambua Jack kama mke wa marehemu? Kiukweli huu ni mtego na nightmare kwa kanisa la kilutheri.
Mengi na Mke wake wa kwanza walipeana talaka mahakamani! Lazima atazikwa na kanisa tu
 
Kama inavyofahamika katika kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania ,ndoa inayotambulika ni moja tu hadi kifo kitakapowatenganisha.

Mzee Mengi ambaye alikuwa ni muumini wa kanisa la kilutheri Tanzania na katika uhai wake inasemekana alifunga ndoa nyingine na Jack wakati huo huo Mama Mercy Mengi alikuwa bado yupo hai.

Je Mengi atazikwa na kanisa la kilutheri ,kikristo? Je kanisa litamtambua Jack kama mke wa marehemu? Kiukweli huu ni mtego na nightmare kwa kanisa la kilutheri.
Sheria ni kwa masikini mkuu.Utaona watakavyompamba na cheo cha mwenyeheri juu
 
Back
Top Bottom