KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

Mi sio KKKT ni mrumi pure ila niseme tu kuwa kanisa kama kanisa halina shida kila kitu kiko wazi ila kama viongoz wakiamua kwa utashi wao kufanya hivyo haina maana ya kulilaumu kanisa wataulizwa wao acheni mengine yaendelee
Kipofu akimuongoza mwenzake; WOTE wataingia shimoni;Kanisa ni wewe na vingozi ndugu.
 
Hatuna cha kujifunza kwa WALIOSHINDWA; hao wote ni wanadamu kama wewe wenye madhaifu; Kielelezo chetu ni YESU PEKEE ambaye aliishi duniani na hakutenda dhambi yeyote.
Lakini hakuoa ili watu wote wawe wa kwake.
Waliooa mke mmoja kutokana na changamoto zinazowakabili na mila na mapokeo yao wawe wa kwake.
Waliooa wake wengi kutokana na uwezo wao wa kuishi nao na mila zao na uadilifu wao wawe wa kwake.
Wasiooa kama mapadri kutokana na kujitoa kwao wawe wa kwake pia.
Wasiooa kutokana na nature waliyozaliwa nayo wawe wa kwake pia.

Yesu hajawahi kukataza mtu kuoa wake wengi.
Alichosema ni kwamba Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.

Mila za wazungu zimesababisha uKikristo ukawa na maswali mengi lakini Biblia iko wazi kabisa manabii wetu waliooa wake wengi na Mungu aliwapenda sana.
Wema na matendo Mema ndio jambo la Msingi.
Mila za Kiyahudi ,Kiarabu,kiafrika ,kihindi n.k zilikua na uadilifu mkubwa lakini waliooa wake wengi.

Hiyo ya mke mmoja imetoka wapi ndani ya Biblia zaidi ya Paulo kuagiza kuwa askofu awe ni mume wa mke mmoja.
Hii ni ili apate muda wa kuwatumikia waumini wake na kuwa na muda wa kutembelea makanisa yake.
Wengine hawakufungwa na sheria hiyo Bali ni mfumo wa kidunia tu kutokana na mila za kizungu na mazingira yao.
 
Nadhani umeuliza swali lako kitaalam sana. Lakini nikuulize; Je, akizikwa na Jackline peke yake tuseme hataoza? Akizikwa na wachungaji woote wa KKKT hataoza??
Maziko ni nini?? Nadhani maziko ni kuuchimbia mwili ardhini, yaani kuufukia tu usinuke ukaharibu mazingira Mh J Makamba akakushitaki.
Kama unataka kuwanyima viongozi wa KKKT kwenda kulihubiri neno lililo hai la Mungu kwenye ule umati mkuubwa na ma-tv makubwa, nadhani utakuwa unawakosesha nafasi hiyo adhimu sana. Pale, anayehubiriwa sio Reginald ni wewe na mimi tulio hai.
Msijidanganye ati maombi yenu leo yanaweza kumsaidia tena Mengi. Usipoteze muda na nguvu kumuombea. Wanasema huyu bwana alikuwa Bilionea. Fikiri kidogo kama mkatoliki. Wanasema misa ya kumuombea marehemu ni shs 29000/= Je, tajiri mkuubwa mkatoliki ka Rockfela angeliacha $ milion moja, Tz makanisa yoote ya RC yangeliomba misa ngapi??
Acheni utoto. Ibaada itakayo fanyika ni kwa ajili tu ya kuwaonya walio hai na hapo ni kumuonya Jackline atubu dhambi ya kumuiba mume wa mtu. Si kwa ajili ya Mengi. Full Stop
Amesha hukumiwa na Mungu habadilishwi na lolote. Wewe umepewa nafasi ukiwa hai ututbu dhambi yako sio sisi tuje kukuombea msamaha
 
Hivi duniani kusingekuwa na sheria au kanuni si tungekuwa kama wanyama tu Mungu angepiga tu kiberiti kujiondolea stress za wanadamu, kanuni zipo lakini hatuzifuati kila mtu anageuzia kwenye unafuu wake, hakimu ni Mungu ilq tumeambiwa tusiwe vuguvugu tutatapikwa, tuamue kuwa moto au baridi basi.
 
Hivi duniani kusingekuwa na sheria au kanuni si tungekuwa kama wanyama tu Mungu angepiga tu kiberiti kujiondolea stress za wanadamu, kanuni zipo lakini hatuzifuati kila mtu anageuzia kwenye unafuu wake, hakimu ni Mungu ilq tumeambiwa tusiwe vuguvugu tutatapikwa, tuamue kuwa moto au baridi basi.

Shida ilianzia pale Wanaadam walipojivika mamlaka ya kumuwakilisha Mungu duniani na sisi binaadam tukawaruhusu wawe madalali wetu tena kwa kuwapa heshima kubwa ya hali & mali!!

* Muumba wa Ardhi na Mbingu atusamehe madhaifu yetu na kutuepusha na mapungufu yetu!
 
Shida ilianzia pale Wanaadam walipojivika mamlaka ya kumuwakilisha Mungu duniani na sisi binaadam tukawaruhusu wawe madalali wetu tena kwa kuwapa heshima kubwa ya hali & mali!!

* Muumba wa Ardhi na Mbingu atusamehe madhaifu yetu na kutuepusha na mapungufu yetu!
Kwenye swala la ndoa RC hawa angalii sura kama huna ndoa unaishi uchumba sugu, hata ukawe nani ukifariki hawausiki, ila uzuri huwa wanashauri mapema kabisa utafuatwa unaambiwa unatakiwa uishi maisha haya
 
Back
Top Bottom