KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

Kanisa haliziki atazikwa na Askofu tena zidi ya mmoja maana aliishi injili alitenda yaliyo agizwa na Yesu, na hata asipo zikwa na hao viongozi haitamzuia kuona ufalme wa Mungu maana hayo ya ndoa ni haki yake, na yeye hakuwa mkamiliu ni dhaifu kama MWANADAMU alivyo umbwa dhaifu... huko kupinda midomo sio fani yangu sijalelewa uswahili sina hasira na mtu wala maisha yangu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bhasi apumzike kwa Amani
 
Kama alifanya yote hayo kuungama sawa,ila Jack aliemuoa wakati Mama Mercy Mengi akiwa hai itakuwaje? Tutaona.
KKKT kanda ya kaskazini imeoza fuatilia mambo wanayofanya matajiri wa huko na kanisa linawakumbatia. Matajiri wa huko wamezaa nje na inajulikana wameoa wakw zaidi ya mmoja na wanapata huduma zote za kanisa tena 1st class. Wanapata huduma ya kutembelewa na viongozi wa dini nyumbani kwao kwa sala maalumu
 
Bado haina mshiko mana KKKT wana kauli ya kuwa nje au ndani ya kundi sasa kama alioa au alizaa nje wakati mke halali yupo ina maana yupo nje ya kundi hivyo kanisa lilimtanga!! Hastahili huduma za kanisa ikiwepo kuzikwa na kanisa



Hastahili kabisa. Na viongozi wa dhehebu letu la KKKT wasije wakapindisha uratibu ,,Mzee hakuwa kundini mpaka amefariki kwahiyo hastahili kuzikwa na kanisa .

Sawa ana mchango mkubwa sana kiuchumi kwenye jamii lakini hapaswi kuzikwa na kanisa.

Akizikwa na kanisa itakuwa sio vizuri hata kidogo
 
hivi mna uhakika na kila kitu humu?
maana mbona nasikia hata kabla ya kuoa tena walishatalikianana mke wake muda tuu aliyefariki tena kwa issue ya kukengeuka amri ya saba? ndio kanisa likaridhia aoe? anywaya time will tell
 
Kama inavyofahamika katika kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania ,ndoa inayotambulika ni moja tu hadi kifo kitakapowatenganisha.

Mzee Mengi ambaye alikuwa ni muumini wa kanisa la kilutheri Tanzania na katika uhai wake inasemekana alifunga ndoa nyingine na Jack wakati huo huo Mama Mercy Mengi alikuwa bado yupo hai.

Je Mengi atazikwa na kanisa la kilutheri ,kikristo? Je kanisa litamtambua Jack kama mke wa marehemu? Kiukweli huu ni mtego na nightmare kwa kanisa la kilutheri.
Kama ana hati ya talaka ya serikali hakuna shida... Atazikwa kwa taratibu zote.... KKKT haitoi talaka kwakuwa haiamini katika kuachana ila inapokea talaka ya kiserikali wanandoa wanapoachana
 
Zipo na zinatoka mahakamani, hasa KKKT, RC zipo ila utaratibu ndio shider
kanisa haizitambui maana hazijatoka kanisani, hizo za mahakamani ni za malimwengu tu kanisa linasimama na "ALICHO UNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE"
 
Tenda mema mkuu huyu askofu mkuu wa KKKT Malasusa mwenyewe alikuwa na tuhuma za UKZINI na mama MCHUNGAJI aliekuwa MKE wa MTU mpaka kutaka kumpora mtoto baba halali wa mtoto, lakini jamaa alisimama kidete akapata mtoto wake na ndoa akavunja kwa aibu malasusa akampeleka nje ya nchi kusoma huyo mama mzinifu mwenzake, kwa hiyo tuishi tukimpendeza Mungu zaidi hata hawa tuna lilia watuzike si wasafi kama majoho yao yalivyo masafi, wana mambo mengi ya hovyo....Tukuanguka dhambini tutubu.



Umenena vyema sana Mkuu hawa tunao waita wachungaji wengi wana mengi sana. Kikubwa tuijue kweli nayo kweli itatuweka huru


Kuna mwinjilist mmoja alikuwa anamtumia sms za ajabu ajabu sana mtarajiwa wangu. Mwanamke kutongozwa ndo uwanawake sasa,, kilicho kuwa kina kera alikuwa ana mke wake wa ndoa teari.
 
unakwenda mahakamani baada ya kanisa kushindwa kusuluhisha! Ndio utaratibu huo, na ukishapata hati ya talaka unarudi kanisani kufunga ndoa kwa mara ingine tena!
 
Kama ana hati ya talaka ya serikali hakuna shida... Atazikwa kwa taratibu zote.... KKKT haitoi talaka kwakuwa haiamini katika kuachana ila inapokea talaka ya kiserikali wanandoa wanapoachana
Inapokea talaka???Ndo nasikia kutoka kwako. Muumini wa KKKT aliefunga ndoa KKKT. Akapata talaka mahakamani. Kanisa litaipokea????Basi Mengi na Jack wangefunga ndoa yao pale Azania front.
 
unakwenda mahakamani baada ya kanisa kushindwa kusuluhisha! Ndio utaratibu huo, na ukishapata hati ya talaka unarudi kanisani kufunga ndoa kwa mara ingine tena!
Kanisa gani hilo? Kwetu hairuhusiwi labda mke au mme atakapofariki dunia.
 
Kanisa la KKKT halitambui talaka.
Linatambua kwa namna yake ndio maana hata wazinifu huweza kurudishwa kundini.
Kuna ndoa nyingi za kilutheri nimezishuhudia mtu kaolewa baada ya miaka kadhaa anaachwa anaolewa na mwingine na wanafunga ndoa KIMARA
 
kanisa haizitambui maana hazijatoka kanisani, hizo za mahakamani ni za malimwengu tu kanisa linasimama na "ALICHO UNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE"
Huo ni ubishi sasa...! Nafahamu watu wengi waliokuwa na ndao ya kanisani, na ndoa zikavunjka, then wakaenda mahakamani kudai talaka, na sasa wanafunga ndoa tena, tena KKKT! Hilo wala sibishanii, coz ni kitu kipo na nimeona, wala sio kuhadithiwa.

na ukitaka nitakupa mifano hai!
 
Back
Top Bottom