vaa suruali ya kubana, (ya dukani)
blauz iishie mifuko ya suruali inapoanzia, isiache manyonyo nje (ya mtumba)
nywele weka mawimbi (ikiwezekana weka dye ile kama ya wekundu fulani)
kata nyusi - siyo zote - paka wanja kwa mbali,
kiatu kama una gari vaa kirefu, kama huna gari vaa sendoz ya nguvu
chupi vaa nyeupe
shanga nne
brazia nyeupe, usipush manyonyo
paka rangi ya kucha inayofanana na maua ya kwenye blauz utakayovaa
kama una herene, mkufu wa gold vaa, kama huna usivae, vaa only saa,
paka perfume inayonukia kwa mbali sana.
chukua leso nyeupe,
weka hela kidogo kama elfu 50 kwenye mfuko wa suruali lakini usichangie matumizi yoyote.
uwe na tabasamu la mbali, siyo kujichekesha chekesha bila mpango,
mengine jazia hapa
nawasilisha.