Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,143
- 114,183
We shetani kweli wewekuwa mwema au kujali
We shetani kweli wewekuwa mwema au kujali
Kutubu vidondandio inatumika kufanyia nn
😅😅 Na wewe ni mmoja wao au ?Hio ya pili hio 🙌😂
Miaka ile niliona mzee ni mkatili sana, kumbe alikua sahihi...😜Mimi nataka nimjengee baba yako mnara wa heshima, pale hospitali alipowalaza wale ndugu zenu waliokuja kuwatembelea
nusu albino weweWe shetani kweli wewe
Unauliza tena 🤣😅😅 Na wewe ni mmoja wao au ?
ZOte ulizo zitaja siwezi kuzi acha😂1.Kuongea mwenyewe kichwani ( siyo kichaa )😅 ni kama vile mawazo ila yanakuwa mfumo wa mazungumzo
2. Ku google waigizaji wa series/movie pale inapoisha
3. Kuangalia Movies/series na WWE
Watu waliosoma sana ndiyo wana hiyo tabia ya kuongea wenyeweMovies na series, ku google waigizaji baada ya kumaliza movie au series na kuongea mwenyewe kichwani
Dah!Mie mwezi ujao nagonga mwaka 🙂