Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,429
- 1,760
Mkuu njoo inboxNachovuta hakina impact yoyote kwenye majibu yangu zaidi ya kunifanya niwe na appetite kali tu
Mkuu njoo inboxNachovuta hakina impact yoyote kwenye majibu yangu zaidi ya kunifanya niwe na appetite kali tu
Ngono na bangi.Hi people,
Title inahusika,
Mimi Skanka
Wewe je?
Tajiri wa kigamboni🤣🤣Njoo nikununulie 😎
Ngono ni uchafuNgono na bangi.
Hivi vitu ni saratani sugu kwenye maisha yangu
Njoo basi 😎Tajiri wa kigamboni🤣🤣
Wapi bongeNjoo basi 😎
Kigamboni 😎✌️Wapi bonge
Kufata nini?Kigamboni 😎✌️
Mirinda ya baridi 😎Kufata nini?
Yani 700 au 1000 ndio nfuate kigamboni🤣Mirinda ya baridi 😎
Hiyo unakunywa Kila siku 😎 welcome to my zone 😎Yani 700 au 1000 ndio nfuate kigamboni🤣
Sitoacha kuichukia CCM hata siku moja kwani wao bado ni adui wa haki hapa nchiniHi people,
Title inahusika,
Mimi Skanka
Wewe je?
skanka mamaaShida nini sasa 😂
😂😂Bakari Nondo
View attachment 3451372
Rudi😁😁😁 nitarudi
Positivity, kila la heri mkuu addiction sio nzuri kabisa.Tangu tarehe 1 January mwaka huu sijajichukulia sheria mkononi sijatazama wala kufanya jitihata za kupata video yoyote ya utupu ama yenye sex emotions nakwepa kabsa post zaaina hiyo kwenye social media
So far hii ni greatest achievement kwenye maisha yangu i was a slave
Naitafutia dawa ya kuacha kabisa mikeka japo sipo addicted naweza kukaa muda mrefu bila kubet tena stake za burudani sio kujimaliza lakn nataka niache kabisa
Mafanikio ya kiakili ni kuweza kuacha kufanya vitu ambavyo ni vibaya japo ungeweza kuvifanya kwa siri
Tuendelee kupambana na haya mauraibu