kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,949
kumpelekea moto dada ako Samia Toka nimuoe nimeshindwa kuacha na sitaacha kumpelekea moto
Hiyo naweza kuacha moja kwa moja nikitaka 😂😃mkuu mbona umeishia nusu mikeka kutandaza je🤣
😂😂Hii addiction yangu kwa mtu mkubwa kama wewe hukutakiwa kuijuaMkuu hutaki tufunguke addiction zetu 😃😃
Shida nini sasa 😂kwa hili hapana mama...😅
ulingia vipi kwenye skanka binti yangu
...kijiti, hiba, kuku, mmea, mjani, cumbolo, pyaka, legalize nk.Skanka ndiyo nini?
😂😂😂😂Umbea🥱
Ongezea mchungwa hapo...kijiti, hiba, kuku, mmea, mjani, cumbolo, pyaka, legalize nk.
Kula kulala huyo .
Hio ya pili hio 🙌😂1.Kuongea mwenyewe kichwani ( siyo kichaa )😅 ni kama vile mawazo ila yanakuwa mfumo wa mazungumzo
2. Ku google waigizaji wa series/movie pale inapoisha
3. Kuangalia Movies/series na WWE
Na hiyo ni athari mojawapo kuona kwamba kila unachojibu kipo sawaNachovuta hakina impact yoyote kwenye majibu yangu zaidi ya kunifanya niwe na appetite kali tu
Cheza resident evil 4 ni 🔥 🔥, lipo lililo hakiwa.Game la mpira huwa lipo addictive sana, ukiweka zako ligi unaweza cheza siku nzima, mi huwa napenda kucheza Fifa na mortal kombat ila ya misheni huwa yananishinda nilijaribu kucheza far cry 2 nikashindwa nikaweka pembeni 😅
Mimi nataka nimjengee baba yako mnara wa heshima, pale hospitali alipowalaza wale ndugu zenu waliokuja kuwatembeleaBeer🍻 ijengewe sanamu pale posta mazeee
Unawezaje embu nipe mbinu😃😃Hiyo naweza kuacha moja kwa moja nikitaka 😂
Aah mkuu kawaida kabisa alafu mbona me Rastafarian kabisa 😃😂😂Hii addiction yangu kwa mtu mkubwa kama wewe hukutakiwa kuijua
Commander in chief we bow down sincerely hahahah mikono for lifeMkono!
Once in a while....