Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

Hi people,

Title inahusika,

Mimi Skanka

Wewe je?
images (2).jpeg
 
😅 , Hivi kwa nini mdomo huwa unaumba kwenye mambo mabaya tu ila nikisema ntakuja kununua kampuni ya google ipo siku mdomo haumbi hivyo 🤔
Shetani huwa yupo kazini kuhakikisha mabaya unayojiwazia au kujinenea anakutimizia, ndiyo maana si vyema kumtamkia mtu yeyote maneno mabaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom